Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu wanaabudu Ng'ombe huko India. Mmewahi kuwaona wakiandamana kwa kitendo cha ninyi kuchinja na kula Ng'ombe
Ñdio naona pia wanaotabiri tetemeko la ardhi nilini litatokea wapo eh?Kulikua na waarabu na wayahudi wenye akili hapo kale na ndio mana hata kwenye biblia yapo yaliyonenwa miaka zaidi ya elfu mbili na leo yanatokea.Sio quran tu.
Hata leo hii wapo wanaotabiri yatakayotokea miaka elfu tano ijayo ila haimaanishi wao ni Miungu.
Sasa ng'ombe wangu mm itakuaje unizuie nisimchinje Kama huyo muhindi anamuonea huruma na aje nimuuzie ili amnusuru nisimchinjeKuna watu wanaabudu Ng'ombe huko India. Mmewahi kuwaona wakiandamana kwa kitendo cha ninyi kuchinja na kula Ng'ombe
Vizuri sana.Ukizungumzia ivo hata firauni aliachiwa ajiite Mungu mpaka pale siku yake ilipofika ñdio akaamini na akamjua Mungu kuwa yupo
Kimezaliwa kizazi, cha, watu weupe wasiowapenda watu wa nasaba zingine,hawataki wahamiaji kutoka Afrika, Asia, wala Arabia, wanahofia Hari ikiendelea hv, demografia itabadirika, idadi ya wasio weupe watakuwa wengi kuliko wenyeji Wazungu!Kwanini Hao Wa-Sweeden wanafanya hivyo lakini? Embu tupeane taarifa kidogo.
Ubongo wako ni cherema.Ñdio naona pia wanaotabiri tetemeko la ardhi nilini litatokea wapo eh?
Mungu hajanifanya ninye.Ikiwa kama Mungu hayupo,Mungu kakufoanya unnye,wewe badilisha usinye.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ndio nakubali ubongo wangu chelema hauivi najua ww unaakili nyingi na utakufa tajiri ila mm sitaacha kumuamini MunguUbongo wako ni cherema.
Hata uchemshwe vipi hutakaa uive wewe.Hayo maujinga unayoamini yamejichimbia katika sakafu ya ubongo wako ni dhahiri utakufa nayo masikini.
Amka wewe.
Hata kwenye bible vimetabiriwa vingi kimojawapo ni hizi aeroplanes unazoziona ila siko hapa kwa lengo la kusema biblia ndio sahihi.
Ona huyuWewe mwenyewe hujui maana ya dini.Dini ni neno la kiarabu,maana yake ni mfumo wa maisha.Wewe pia ni mfia dini,mfia mfumo wa maisha unayoishi(ndio dini yako).Wewe mfia dini(mfumo wa maisha ulio nao).
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umekuja na malalamiko tu,Hili swali tumeshaliongelea hapo awali.
Wapi nimejisifu nina akili?
Akili ni nini?
Ikiwa sijawahi kuziona hizo akili, hilo linathibitisha Mungu yupo?
Mbona unaleta swali la logical non sequitur?
Nikifa leo, nisiwepo mimi wala akili yangu, hivyo nisiweze kuthibitisha kwamba nina akili, ikiwa Mungu hayupo, ile hali ya mimi kutokuwapo na kutoweza kuthibitisha nina akili itafanya Mungu awepo?
Umethibitisha Mungu yupo?
Tatizo ni kwamba hata ukiona Socratic Method utaona malalamiko tu, huelewi ni kitu gani.Umekuja na malalamiko tu,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zuzu ..Tatizo ni kwamba hata ukiona Socratic Method utaona malalamiko tu, huelewi ni kitu gani.
Ndiyo maana mazungumzo kati yangu na wewe ni magumu.
Ni kama vile nazungumza Kigiriki cha kale, ambacho wewe hukielewi.
Wewe kumuamini Mungu sio shida zangu.Ndio nakubali ubongo wangu chelema hauivi najua ww unaakili nyingi na utakufa tajiri ila mm sitaacha kumuamini Mungu
Kifuani mwako kuna Matiti yaliyolala wewe bibi kizee Ajuza, Quran labda ipo Mik..... ni mwako. Angalia kifuani mwako kama utaona Quran au Matiti yaliyolala kama Chapati za juzi.Ma shaa Allah, Hii safi sana, wachome zote, Qur'an ipo vifuani mwetu, wakimaliza waanze kutuchoma na sisi, na tunavyozaliana kama panya wataweza kutumaliza?
Hakika shetani Qur'an inaposomwa inamchoma, sasa ugomvi wake mkuu ni Qur'an.
Maana Sweden huko Ukristo walisha upiga teke, kufanyana ndugu na ndugu kwao [oa, kufanyana wanaume kwa wanaume kwao poa, wao na wanyama kwao poa. Qur'an anawachoma mioyo yao. Siwashangai.
Nyie mlioniita, mnaisoma tafsiri ya Qur'an kwa Kiswahili? Au na nyie ni mashetani mnaogopa?
Qur'an imekuja kwa waltmwengu wote si kwa ajili ya faizaFoxy tu, mnalielewa hilo?
Isomeni hapa tafsiri ya Qur'an: Qur'ani Tukufu
Immanent critique.🤣🤣🤣🤣🤣🤣Zuzu ..
Ulijiumba mwenyewe wewe,
Mm Sina hofu na kufru zako naona kama marudio tu walikuwepo wengi kama wewe na ukawakamata mkamato mkali,
Subiri siku unatolewa roho
Sasa hapo ndiyo umejibu hoja nliyokupa?Akili zinakurudia taratibu.Umeshaelewa kuwa kila unachokiona yupo aliyekifanya.Rudia tena kila unachokiona yupo aliyekifanya kiwepo.Utaelewa taratibu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Asante Kwa kuniongezea mwanafalsafa mwengine kwenye list yanguWenye dini zao na miungu wao. 😁
View attachment 2702301