Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aamua Lockdown sasa basi

Wewe naona unaya copy hayo Maneno bila kuelewa maana yake "Flatten plateau" *easing restrictions" "Curve" na ........"
 
Sasa kama unaelewa hivyo mbona hapa Nyumbani hamuachi kupinga?? Watu waendele na shughuli zao ???....
 
Kwahiyo kumbe kitachoushinda huu ugonjwa ni kanuni za social distancing na tahadharicnyinginezo ambazo sisi tayari tunazichukua, sasa lockdown waliweka ya nini?
 
Kwahiyo kumbe kitachoushinda huu ugonjwa ni kanuni za social distancing na tahadharicnyinginezo ambazo sisi tayari tunazichukua, sasa lockdown waliweka ya nini?
Lockdown Boris kishaona ujinga,jana aliwaambia wabunge wa upinzani (BBC Swahili) kwamba lazima watu wafanye kazi.Wapinzani wanapiga kelele hali mbaya bado.
 
Miaka 100, hatumuwezi beberu, kaugua kapona, katoka stronger leader than before COVID, na wanakubali kwenye matatizo, wana road map ya kuhakikisha wanatatua matatizo, shida za PPE ni global...

Tuendelee kupiga nyungu, kunywa mimadagascar, na kunywa chilii sosi...ambayo haijathibitishwa na mamlaka..kasoro mkemia mkuu..

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Kafie mbele uko, unataka kutufanya hatuelewi mantiki ya uzi au, we mpuuzi kweli unataka kubishana na ukweli kwamba ideology anayotaka kutumia Boris ndo hyo hyo anayotumia Magu, narudia tena kafie mbele na km inauma chomoa, ila Magu baba laooo[emoji3][emoji3]
 
Mkuu dawa zipo na watu wanatumia kmy kmy na wanapona
 
Tangu lini misukule nyie mkaelewa lolote?

Buku 7 imeshaingia hapo na vi bonus vya matusi.

Huwa hatuijibu misukule au mavuvuzela maimba mapambio kwa matusi kama lugha yao ilivyo.

Hatuna mpango wa kufanana nayo.

Komaa hapo hapo, msukule wee!
 
Buku 7 imeshaingia hapo na vi bonus vya matusi.

Huwa hatuijibu misukule au mavuvuzela maimba mapambio kwa matusi kama lugha yao ilivyo.

Hatuna mpango wa kufanana nayo.

Komaa hapo hapo, msukule wee!
Msukule mwengine huyu hapa DeAnna Loraine huyu nae Magufuli sijui kamjulia wapi,ila hata husipotoa credit kuna watu ktk dunia ya kwanza watamwelewa tu Magu,wewe huku kutoka dunia ya tatu endelea kuponda.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] umepanic broo, ngj nkwambie kitu mm co mpumbavu km ww fuata upepo, bado cna maisha mazuri lkn mm ni mfuasi wa maendeleo ya kweli co upuuzi mnaoshabikia nyie mkiongozwa na chuki binafsi, kwa macho yangu mawili naona madaraja yanajengwa, barabara mpk huku kwetu uswahilini, flyover kila pande, miundombinu ya reli tena ya kisasa kabisa, baharini hakusemeki meli km zote, ndege za kutosha ambazo tunaona kinachofanywa kwa kutumia ndege hizo, tunaona miradi kibao ambayo enzi ilikuwa inahesabika km hadithi za alfu Lela ulela, sekta ya afya imekucha hospitali kila kona mpk huku kwetu uswahilini, tena co moja na ni za kisasa kabisa, masoko kila pembe, ss ww unayejifanya kipofu wa karne ulitaka Magu ampe pesa mkononi babaako? Mnakaa mnakesha kuongea ufalamanga eti oohh Tundu lissu cjui kafanya nini, hv ww kwa akili zako fupi unadhani huyo tundu lissu atakusaidia nn ww mpuuzi? Stuka jenga nchi achana na siasa za kipuuzi, hayo mambo ya kisiasa waachie wana siasa wnyw cz wana maugomvi yao binafsi wasikuingize kwny ugomvi wao cz kwny pato lao ww hawakuingizi, stuka mtanzania tunaelekea pazuri na hakuna serikali yoyote iliyowahi kuthubutu kufanya haya yanayofanyika hata ww mwnyw ni shahidi icpokuwa ubinafsi unakusumbua.
 
Msukule mwengine huyu hapa DeAnna Loraine huyu nae Magufuli sijui kamjulia wapi,ila hata husipotoa credit kuna watu ktk dunia ya kwanza watamwelewa tu Magu,wewe huku kutoka dunia ya tatu endelea kuponda.
View attachment 1447849
Wajinga hao wanakubali kuingizwa kwenye mtego wa siasa na wanasiasa uchwara, ugomvi wa Lissu na Magu unakuhusu nn? We angalia yako km yanaenda inatosha, mods watanisamehe sn ila nimeona niwape ukweli hawa ndegeresi.
 
Msukule mwengine huyu hapa DeAnna Loraine huyu nae Magufuli sijui kamjulia wapi,ila hata husipotoa credit kuna watu ktk dunia ya kwanza watamwelewa tu Magu,wewe huku kutoka dunia ya tatu endelea kuponda.
View attachment 1447849

Misukule haiko Tanzania tu. Imemwagwa dunia nzima achilia mbali mitandaoni. Mission tetea, shabikia, pambania, shadadia nk, Magufuli kwa lolote lile. Lolote hapo ni kwa maana halisi yaani hata kama unabakwa.

Leta mtafaruku wowote hata kama wa kijinga jinga tu kupotosha lolote lile linaloweza kuwafungua wengine macho.

Weka hata matusi sana ikibidi watoke kwenye hoja ili ikiwezekana warukie matusi. Ukifanikiwa njoo kuna buku 7 na bonasi ya matusi.

Misukule ikishafahamika haipaswi kutupa taabu.
 
Sisi tumeshashinda vita vya Corona tupo tunafuka nyungu.

Please shut up!
 
Wewe una hoja gani wakati hoja zako zimejaa matusi na kejeli,huu ni ulimwengu wa Demokrasia jifunze kuheshimu mawazo ya mwenzako na hoja hujibiwa kwa hoja na si kejeli wala matusi.
 
Sisi tumeshashinda vita vya Corona tupo tunafuka nyungu.

Please shut up!
Huna hoja ww, cz huna chochote cha kuongea hapo, mm nmekupa 7bu kibao kwanini namshabikia Magu, ww hujatoa hata moja kwa nn unamchukia, hvyo nakupuuza rasmi ila ukirudi na vihoja vyako uchwara naruka na ww km kawa.
 
Wewe una hoja gani wakati hoja zako zimejaa matusi na kejeli,huu ni ulimwengu wa Demokrasia jifunze kuheshimu mawazo ya mwenzako na hoja hujibiwa kwa hoja na si kejeli wala matusi.

Mwenye hoja wewe.

Piga nyungu mwanamme tuko vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…