Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aamua Lockdown sasa basi

Umesikia wakisema maneno kama "Flatten plateau" *easing restrictions" "Curve" na mengine mengi? Kinachoashiriwa ni kwamba wameshafika kileleni na hawawezi kwenda mbali juu zaidi ya walipo sasa zaidi ya kuanza kushuka kwa maambukizi.

Kitaalamu wanaangalia idadi ya wagonjwa wapya wanaoripotiwa, wanatoka wapi, hali zao za maambukizi ziko kwa kiwango gani, jamii imeitikiaje wito wa kukaa mbali mbali (social distancing) na hata kama wanafungua hawaishi kama zamani bali wanaishi kama zamani kiupya (New normal) yote hayo bado inaonesha wako makini na kuna vitu wanajifunza kila siku!!

Hawafungui kwa sababu wameshindwa bali kwa kuwa wanaishi katika uhalisia na kama wasingefanya walivyofanya leo hii wangekuwa tayari wameshaparaganyika. Jifunze shughuli anayokutana nayo Putin kule Urusi kuhusu COVID 19.
Wewe naona unaya copy hayo Maneno bila kuelewa maana yake "Flatten plateau" *easing restrictions" "Curve" na ........"
 
Tatizo la COVID 19 kuna mambo mawili yamegongana na yote yana umuhimu, Afya za wananchi na Uchumi wa nchi. Ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na wananchi wenye Afya bora lakini ili Afya za wananchi wako ziweze kuwa bora ni lazima uwe na Uchumi Imara.

Kwa ivo watu kama kina Dolnad Trump, Boris Johnson na Stefan Lofven Waziri Mkuu wa Sweden wao hoja yao ni lazima watu warudi kazini sasa hivi huku wakijikinga ili wafufue uchumi. Wapinzani wao hoja yao kubwa ni kwamba viongozi hao hawana uthibitisho wa wataalamu wa Afya kwamba watu wakirudi kazini hakutatokea wimbi jipya la Maambukizi ya COVID 19.

Kwa maana nyingine wanaulizana kama yatarudi jamii itaweza kupambana nayo, na wataka watu kurudi kazini nao wanauliza watu wakiendelea kubaki majumbani jee serikali itaendelea kuwa na uwezo wa kuhimili kuwahudumia watu hao??
Sasa kama unaelewa hivyo mbona hapa Nyumbani hamuachi kupinga?? Watu waendele na shughuli zao ???....
 
Umesikia wakisema maneno kama "Flatten plateau" *easing restrictions" "Curve" na mengine mengi? Kinachoashiriwa ni kwamba wameshafika kileleni na hawawezi kwenda mbali juu zaidi ya walipo sasa zaidi ya kuanza kushuka kwa maambukizi.

Kitaalamu wanaangalia idadi ya wagonjwa wapya wanaoripotiwa, wanatoka wapi, hali zao za maambukizi ziko kwa kiwango gani, jamii imeitikiaje wito wa kukaa mbali mbali (social distancing) na hata kama wanafungua hawaishi kama zamani bali wanaishi kama zamani kiupya (New normal) yote hayo bado inaonesha wako makini na kuna vitu wanajifunza kila siku!!

Hawafungui kwa sababu wameshindwa bali kwa kuwa wanaishi katika uhalisia na kama wasingefanya walivyofanya leo hii wangekuwa tayari wameshaparaganyika. Jifunze shughuli anayokutana nayo Putin kule Urusi kuhusu COVID 19.
Kwahiyo kumbe kitachoushinda huu ugonjwa ni kanuni za social distancing na tahadharicnyinginezo ambazo sisi tayari tunazichukua, sasa lockdown waliweka ya nini?
 
Lockdown Boris kishaona ujinga,jana aliwaambia wabunge wa upinzani (BBC Swahili) kwamba lazima watu wafanye kazi.Wapinzani wanapiga kelele hali mbaya bado.
 
Miaka 100, hatumuwezi beberu, kaugua kapona, katoka stronger leader than before COVID, na wanakubali kwenye matatizo, wana road map ya kuhakikisha wanatatua matatizo, shida za PPE ni global...

Tuendelee kupiga nyungu, kunywa mimadagascar, na kunywa chilii sosi...ambayo haijathibitishwa na mamlaka..kasoro mkemia mkuu..

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Umesoma kuelewa au umedandia treni kwa mbele?

"It is a fact that by adopting those measures we prevented this country from being engulfed by what could have been a catastrophe in which the reasonable worst case scenario was half a million fatalities."

Unaelewa hii R inayoongelewa kuwa ndiyo inayowafanya kurelax mambo kwa sababu hali imedhibitiwa?

"And I must stress again that all of this is conditional, it all depends on a series of big Ifs. It depends on all of us – the entire country – to follow the advice, to observe social distancing, and to keep that R down."

Au mpaka hii speech muwekewe kisukuma?

And yet when I look at where we are tonight, we have the R below one, between 0.5 and 0.9 – but potentially only just below one.

R yetu inaweza kuwa kwenye 20. R inabidi kuwa below 1 kwa lockdown kuwa relaxed anywhere kwa watu wasiokuwa wajinga.

Hii bagosha!!!!
Kafie mbele uko, unataka kutufanya hatuelewi mantiki ya uzi au, we mpuuzi kweli unataka kubishana na ukweli kwamba ideology anayotaka kutumia Boris ndo hyo hyo anayotumia Magu, narudia tena kafie mbele na km inauma chomoa, ila Magu baba laooo[emoji3][emoji3]
 
Tuambiane ukweli, dunia nzima ilitamani ilitamani Tanzania ikumbwe na vifo kwa kutoiga mabeberu hadi wengine wakatangaza "UKAIDI WA MAGUFULI". Mabeberu na wafuasi wao walipeana mikopo na chanjo ili waishinde Tz kwa kuitokomeza Covid19. Kwa sasa ni mwendo wa kuondoa lockdown na kujifukiza kimyakimya. Dawa pia mtaipata hapa Bongo.
Mkuu dawa zipo na watu wanatumia kmy kmy na wanapona
 
Kafie mbele uko, unataka kutufanya hatuelewi mantiki ya uzi au, we mpuuzi kweli unataka kubishana na ukweli kwamba ideology anayotaka kutumia Boris ndo hyo hyo anayotumia Magu, narudia tena kafie mbele na km inauma chomoa, ila Magu baba laooo[emoji3][emoji3]

Tangu lini misukule nyie mkaelewa lolote?

Buku 7 imeshaingia hapo na vi bonus vya matusi.

Huwa hatuijibu misukule au mavuvuzela maimba mapambio kwa matusi kama lugha yao ilivyo.

Hatuna mpango wa kufanana nayo.

Komaa hapo hapo, msukule wee!
 
Msukule mwengine huyu hapa DeAnna Loraine huyu nae Magufuli sijui kamjulia wapi,ila hata husipotoa credit kuna watu ktk dunia ya kwanza watamwelewa tu Magu,wewe huku kutoka dunia ya tatu endelea kuponda.
Screenshot_20200512-131931.png
 
Tangu lini misukule nyie mkaelewa lolote?

Buku 7 imeshaingia hapo na vi bonus vya matusi.

Huwa hatuijibu misukule au mavuvuzela maimba mapambio kwa matusi kama lugha yao ilivyo.

Hatuna mpango wa kufanana nayo.

Komaa hapo hapo, msukule wee!
[emoji3][emoji3][emoji3] umepanic broo, ngj nkwambie kitu mm co mpumbavu km ww fuata upepo, bado cna maisha mazuri lkn mm ni mfuasi wa maendeleo ya kweli co upuuzi mnaoshabikia nyie mkiongozwa na chuki binafsi, kwa macho yangu mawili naona madaraja yanajengwa, barabara mpk huku kwetu uswahilini, flyover kila pande, miundombinu ya reli tena ya kisasa kabisa, baharini hakusemeki meli km zote, ndege za kutosha ambazo tunaona kinachofanywa kwa kutumia ndege hizo, tunaona miradi kibao ambayo enzi ilikuwa inahesabika km hadithi za alfu Lela ulela, sekta ya afya imekucha hospitali kila kona mpk huku kwetu uswahilini, tena co moja na ni za kisasa kabisa, masoko kila pembe, ss ww unayejifanya kipofu wa karne ulitaka Magu ampe pesa mkononi babaako? Mnakaa mnakesha kuongea ufalamanga eti oohh Tundu lissu cjui kafanya nini, hv ww kwa akili zako fupi unadhani huyo tundu lissu atakusaidia nn ww mpuuzi? Stuka jenga nchi achana na siasa za kipuuzi, hayo mambo ya kisiasa waachie wana siasa wnyw cz wana maugomvi yao binafsi wasikuingize kwny ugomvi wao cz kwny pato lao ww hawakuingizi, stuka mtanzania tunaelekea pazuri na hakuna serikali yoyote iliyowahi kuthubutu kufanya haya yanayofanyika hata ww mwnyw ni shahidi icpokuwa ubinafsi unakusumbua.
 
Msukule mwengine huyu hapa DeAnna Loraine huyu nae Magufuli sijui kamjulia wapi,ila hata husipotoa credit kuna watu ktk dunia ya kwanza watamwelewa tu Magu,wewe huku kutoka dunia ya tatu endelea kuponda.
View attachment 1447849
Wajinga hao wanakubali kuingizwa kwenye mtego wa siasa na wanasiasa uchwara, ugomvi wa Lissu na Magu unakuhusu nn? We angalia yako km yanaenda inatosha, mods watanisamehe sn ila nimeona niwape ukweli hawa ndegeresi.
 
Msukule mwengine huyu hapa DeAnna Loraine huyu nae Magufuli sijui kamjulia wapi,ila hata husipotoa credit kuna watu ktk dunia ya kwanza watamwelewa tu Magu,wewe huku kutoka dunia ya tatu endelea kuponda.
View attachment 1447849

Misukule haiko Tanzania tu. Imemwagwa dunia nzima achilia mbali mitandaoni. Mission tetea, shabikia, pambania, shadadia nk, Magufuli kwa lolote lile. Lolote hapo ni kwa maana halisi yaani hata kama unabakwa.

Leta mtafaruku wowote hata kama wa kijinga jinga tu kupotosha lolote lile linaloweza kuwafungua wengine macho.

Weka hata matusi sana ikibidi watoke kwenye hoja ili ikiwezekana warukie matusi. Ukifanikiwa njoo kuna buku 7 na bonasi ya matusi.

Misukule ikishafahamika haipaswi kutupa taabu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] umepanic broo, ngj nkwambie kitu mm co mpumbavu km ww fuata upepo, bado cna maisha mazuri lkn mm ni mfuasi wa maendeleo ya kweli co upuuzi mnaoshabikia nyie mkiongozwa na chuki binafsi, kwa macho yangu mawili naona madaraja yanajengwa, barabara mpk huku kwetu uswahilini, flyover kila pande, miundombinu ya reli tena ya kisasa kabisa, baharini hakusemeki meli km zote, ndege za kutosha ambazo tunaona kinachofanywa kwa kutumia ndege hizo, tunaona miradi kibao ambayo enzi ilikuwa inahesabika km hadithi za alfu Lela ulela, sekta ya afya imekucha hospitali kila kona mpk huku kwetu uswahilini, tena co moja na ni za kisasa kabisa, masoko kila pembe, ss ww unayejifanya kipofu wa karne ulitaka Magu ampe pesa mkononi babaako? Mnakaa mnakesha kuongea ufalamanga eti oohh Tundu lissu cjui kafanya nini, hv ww kwa akili zako fupi unadhani huyo tundu lissu atakusaidia nn ww mpuuzi? Stuka jenga nchi achana na siasa za kipuuzi, hayo mambo ya kisiasa waachie wana siasa wnyw cz wana maugomvi yao binafsi wasikuingize kwny ugomvi wao cz kwny pato lao ww hawakuingizi, stuka mtanzania tunaelekea pazuri na hakuna serikali yoyote iliyowahi kuthubutu kufanya haya yanayofanyika hata ww mwnyw ni shahidi icpokuwa ubinafsi unakusumbua.

Sisi tumeshashinda vita vya Corona tupo tunafuka nyungu.

Please shut up!
 
Misukule haiko Tanzania tu. Imemwagwa dunia nzima achilia mbali mitandaoni. Mission tetea, shabikia, pambania, shadadia nk, Magufuli kwa lolote lile. Lolote hapo ni kwa maana halisi yaani hata kama unabakwa.

Leta mtafaruku wowote hata kama wa kijinga jinga tu kupotosha lolote lile linaloweza kuwafungua wengine macho.

Weka hata matusi sana ikibidi watoke kwenye hoja ili ikiwezekana warukie matusi. Ukifanikiwa njoo kuna buku 7 na bonasi ya matusi.

Misukule ikishafahamika haipaswi kutupa taabu.
Wewe una hoja gani wakati hoja zako zimejaa matusi na kejeli,huu ni ulimwengu wa Demokrasia jifunze kuheshimu mawazo ya mwenzako na hoja hujibiwa kwa hoja na si kejeli wala matusi.
 
Sisi tumeshashinda vita vya Corona tupo tunafuka nyungu.

Please shut up!
Huna hoja ww, cz huna chochote cha kuongea hapo, mm nmekupa 7bu kibao kwanini namshabikia Magu, ww hujatoa hata moja kwa nn unamchukia, hvyo nakupuuza rasmi ila ukirudi na vihoja vyako uchwara naruka na ww km kawa.
 
Wewe una hoja gani wakati hoja zako zimejaa matusi na kejeli,huu ni ulimwengu wa Demokrasia jifunze kuheshimu mawazo ya mwenzako na hoja hujibiwa kwa hoja na si kejeli wala matusi.

Mwenye hoja wewe.

Piga nyungu mwanamme tuko vizuri!
 
Back
Top Bottom