Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

Aisee kuna umuhimu wa kuwapima mara kwa mara viongozi hasa wanaokutana na Rais mara kwa mara maana kama beberu limepata maambukizi sijui sisi.
 
Haizidi july
Nimeumiza sana kichwa kukujua [emoji44][emoji44][emoji44][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Hawa wazungu Acha wafe Tu hawana maana kabisa,hii ni zamu Yao kufa mbona huku Africa tunakufa Kwa malaria,ukimwi na kipindupindu lakini hatuleti taharuki?
Hawa jamaa wanajiona binadamu kuliko sisi.....
Raisi wa Russia alishawahi kusema Sisi waafrica tuna miili iliyojaa rutuba ya magonjwa.ndiyo maana tokea ugonjwa huu umeanza naona poa Tu Acha wafe Tu
 
Waziri mkuu wa uingereza amepata maambuki ya virus vya Corona baada ya kupimwa.amesema alianza kujisikia vibaya baadae akaamua kupima .amesema kuwa ameamua kujitenga lakini bado ataendelea kuongoza taifa hilo
 
Anasema "
Over the last 24 hours I have developed mild symptoms and tested positive for coronavirus. I am now self-isolating, but I will continue to lead the government’s response via video-conference as we fight this virus."



#stay safe corona is real.
 
Back
Top Bottom