Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Afu mke wa Boris ana mimba
Huyo yuko kwenye vulnerable group sijui itakuwaje
Mtihani huu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu mke wa Boris ana mimba
Mzee meko ningeanzisha thread la herufi kubwa. Hata bwana mahips tu
hivi hirusi vinapaa au ? maana hata sivielewi mimi vinapenyaje kwenye ngome nzito nzito kama hizoPrime Minister Boris Johnson has tested positive for coronavirus, Downing Street has said.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri huyo amethibitisha kuwa na maambukizi huku akiwa na dalili za kawaida za #Covid_19
Amesema yupo karantini na ataendelea kuwa kiongozi wa Serikali katika kupambana na janga hilo la #Covid19 Uingereza
====
Mr Johnson has mild symptoms and will self-isolate in Downing Street.
"He was tested for coronavirus on the personal advice of England's chief medical officer, Professor Chris Whitty," a statement said.
He will still be in charge of the government's handling of the crisis, the statement added.
The test was carried out at Number 10 by NHS staff.
In a tweet, Mr Johnson said: "Over the last 24 hours I have developed mild symptoms and tested positive for coronavirus. I am now self-isolating, but I will continue to lead the government's response via video-conference as we fight this virus.
"Together we will beat this."
Mr Johnson was last seen on Thursday night, as he clapped outside No 10 as part of a nationwide gesture to thank NHS staff.
There are more than 11,600 confirmed cases of coronavirus in the UK, and 578 people have died.
Umewahi kurogwa?Mungu msaidie kamanda mbowe
Kati ya wote hujaelewa peke yako hujishtukii hataUmewahi kurogwa?
Poleni mkuu,London haijawa ghost kweliHuku wanatuchanganya
Kaanza Prince Charles
Halafu BJ
Tena waziri wa Afya
Na sasa CMO
Hawa virusi watakuwa wamesambaa hewani watuambie ukweli tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ndivyo ulivyofunzwa namna ya kujibu maswali unayoulizwa?Kati ya wote hujaelewa peke yako hujishtukii hata
Poleni mkuu,London haijawa ghost kweli
Kumbe hujaielewa hiyo code! [emoji385]maneMie mwenyew napumlia oxygen!
Hapana chief, hiyo ni code!Anasema ulimuomba buku 10
🙁🙁🙁 Mungu awavushe salama kipindi hiki mkuu!!!Yaani sehemu tulikuwa tunaenda kwa saa
Sasa ni nusu saa tu
Hakuna watu kabisa, watu wameamua kukaa ndani tu Mkuu
Hali ni mbaya sana na jana wamekufa sana
Mungu atusaidie hapa kila mtu kawa msanii ni kuimba au mapishi
Ili mradi ufanye kitu tu[emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Unfortunately sina muda wa kubishana sasa mkuu... Na hata haina umuhimu... Tuyaache tu.Ndivyo ulivyofunzwa namna ya kujibu maswali unayoulizwa?
🙁🙁🙁 Mungu awavushe salama kipindi hiki mkuu!!!
Slow learnerKumbe hujaielewa hiyo code! [emoji385]mane
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Kweli kaka yaani lifestyle imebadilika kabisa... Na athari zitaonekana hata baada ya ugonjwa huu kuondoka.Amiin
Asante sana na dua zenu muhimu
Tumepatwa na wasiwasi kila mmoja anamkimbia mwenzake
Yaani dunia haitakuwa kama zamani tena
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kweli kaka yaani lifestyle imebadilika kabisa... Na athari zitaonekana hata baada ya ugonjwa huu kuondoka.
Sure bro...let's hide and seeSana
Mambo mengi yatabadilika na athari tunaziona hivi sasa
Dunia imekumbwa na msukosuko
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nimebidi nikwepe kumtaja Putin maana Russia imekuwa na marais watatu tu, nimempa uwanja mpana ajitetee. Story nyingi kuhusu Putin ninazosikia mtaani ni za kumsingizia.Putin hawezi kusema hivyo wanamsingizia.
Trump anaweza kusema