Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

Na Waziri wa Afya wa nchi hiyo pia
Anasema "
Over the last 24 hours I have developed mild symptoms and tested positive for coronavirus. I am now self-isolating, but I will continue to lead the government’s response via video-conference as we fight this virus."



#stay safe corona is real.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeumiza sana kichwa kukujua [emoji44][emoji44][emoji44][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Huna kazi ya kufanya eh!
 
Ulaji wa matunda na mboga zenye vitamin C, kuwa na JUA mwaka mzima ambapo tunapata vitamin D, pamoja na kutovuta sigara kwa wingi kutokana na hali zetu za kiuchumi, ndio inatulida Afrika.

(HAYA NI MAWAZO YANGU TU).
 
Hawa wazungu Acha wafe Tu hawana maana kabisa,hii ni zamu Yao kufa mbona huku Africa tunakufa Kwa malaria,ukimwi na kipindupindu lakini hatuleti taharuki?
Hawa jamaa wanajiona binadamu kuliko sisi.....
Raisi wa Russia alishawahi kusema Sisi waafrica tuna miili iliyojaa rutuba ya magonjwa.ndiyo maana tokea ugonjwa huu umeanza naona poa Tu Acha wafe Tu
Weka hiyo link, screenshot, audio, au video ambayo rais wa Russia alisema hivo. Nina hakika umeongea story za kahawa kutoka kijiweni kwako. Unadhani rais wa Urusi mbwatukaji kama yule mwingine.
 
Na waziri wa Afya tayari
Sijui ni zile mbinu za waliojitenga huko ma celebs


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom