Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

hivi hirusi vinapaa au ? maana hata sivielewi mimi vinapenyaje kwenye ngome nzito nzito kama hizo
 
Poleni mkuu,London haijawa ghost kweli

Yaani sehemu tulikuwa tunaenda kwa saa
Sasa ni nusu saa tu
Hakuna watu kabisa, watu wameamua kukaa ndani tu Mkuu
Hali ni mbaya sana na jana wamekufa sana
Mungu atusaidie hapa kila mtu kawa msanii ni kuimba au mapishi
Ili mradi ufanye kitu tu[emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
šŸ™šŸ™šŸ™ Mungu awavushe salama kipindi hiki mkuu!!!
 
Amiin
Asante sana na dua zenu muhimu
Tumepatwa na wasiwasi kila mmoja anamkimbia mwenzake
Yaani dunia haitakuwa kama zamani tena


Sent from my iPhone using Tapatalk
Kweli kaka yaani lifestyle imebadilika kabisa... Na athari zitaonekana hata baada ya ugonjwa huu kuondoka.
 
Putin hawezi kusema hivyo wanamsingizia.
Trump anaweza kusema
Nimebidi nikwepe kumtaja Putin maana Russia imekuwa na marais watatu tu, nimempa uwanja mpana ajitetee. Story nyingi kuhusu Putin ninazosikia mtaani ni za kumsingizia.

Mtu ambaye hafatilii mambo ya Urusi hawezi jua Putin kasema nini maana huwa hatoi kauli tata, anaongea kwa ufupi, kwa umakini na weredi. Hata umlete mwandishi gani mbobezi wa maswali kwa Putin hafanyi kitu.

Wakati Trump anatumia twitter, Putin anamtumia msemaji wake Dmitry Peskov. Sasa ataanzaje kuongea utata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…