Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

Wenzetu security na intelligence ziko vizuri, ukiona mtu kafika level hizo ujue ameshakuwa muingereza kwenye damu.

Nimeona Patel kwenye polls yuko mwishoni kabisa kama ulivyosema.

Patel ataondoka tu Acha tupate PM mpya
 
Back
Top Bottom