Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

Boris alikuwa Hana tofauti na tinga tinga n don't care huwa anaenda tu bila tahadhari n kiongoz mzuri ila waingereza maadili ndokila kitu
Waingereza na ulimwengu uliostaarabika hawapendi uonevu,majungu na ubinafsi kama wanaouonyesha mabeberu wa Nato hata kujiona wamiliki wa dunia,hii haija tokea TU,uingereza,imetokea Ufaransa,Bulgaria, Ujerumani wakiendelea kuburuzwa na beberu mkuu marekani atakiona kama linavyo mnyemelea beberu mkuu mwenyewe 🤔🤔🤔
 

Attachments

  • file-20211003-25-1b8j7p1.jpg
    file-20211003-25-1b8j7p1.jpg
    14.5 KB · Views: 2
Jewish comminity ina lobbying Power ya nguvu sana UK. Ingekuwa mwingime hiyo kashfa tu angeachia ngazi, si unaona Boris ni kashfa tu. Lakini ngoja tuone
Bora useme Wahindi ndio wenye Power Uengereza kwa sasa
 
Waingereza na ulimwengu uliostaarabika hawapendi uonevu,majungu na ubinafsi kama wanaouonyesha mabeberu wa Nato hata kujiona wamiliki wa dunia,hii haija tokea TU,uingereza,imetokea Ufaransa,Bulgaria, Ujerumani wakiendelea kuburuzwa na beberu mkuu marekani atakiona kama linavyo mnyemelea beberu mkuu mwenyewe 🤔🤔🤔
Acheni tuu jamani niana furaha mpaka natamani ulinzi

ngoja iende kwa Mangi nikachukue kale ka Vladmir Vodka nikanywe huku naangalia kale ka picha ka Vladmir Putin
 
Mawaziri wengi vidomodomo maponjoro.
Washkuru mungu hiyo demokrasia huko.
 
Nimekuwa nikiwaambia Way Ukraine wa buza na Mabeberu wa ulaya na America kuwa wanachoshabikia na wanacho kifanya na kujiona wamiliki wa dunia,itakula kwao next ni Beberu mkuu Biden,Mwamba anaendelea kuikomboa Dunia.Hongera Nzee Putin🏃🏃🏃🏃🏋️.Endelea kuwatwisha vitu vizito😃😃
Wewe hata hujui kinachoendelea ndio shida ya kupuuza elimu dunia na kukalia makorokocho yasiyo weza kukusaidia ona sasa unavyoumbuka.
 
Russia, China and Iran moving troops to Latin America - next door to the US! Venezuela President, Maduro will host the military exercises in mid-August

This is known as "SNIPER FRONTIER"

Kushuba ngempela manje, iphaphu kumkhulu. They might just have military base there...[emoji91] https://t.co/UbRFhEIL78
 
Hapa kwetu ,tuna maviongozi manasiasa yanabwabwaja tu, akili kiduchuu .

Wee cheki Bungeni walivyo , wanapiga makofi kwenye mambo ya kijinga tu.

Na Hawa viti maalumu Ndo kabisaaa Vitunguu Maji .
Siasa zetu haziangalii status ya kielimu na uchumi kwa kils mgombea kasoro Uraisi pekee so tegemea siasa za kelele nyingi siziso na maana.
 
Ninavyoelewa nguvu ya lobbying inatokana na nguvu ya kiuchumi. Yes hata London yenyewe jewish community kubwa lakini Mayor ni Muslim na aliungwa mkono jewish comminity na kama sikosei alimshinda mwenye Jew.

Lobbying wanaweza hata kukuweka mwenye asili ya Mwafrika ilimradi mambi yao ya smingi yafanikiwe

Pia katika kuonesha diverisity na kuwakilisha minority, vyama vimawachagua au kuwapa watu nafasi au fursa katika uwakilishi au uongozi wa wananchi. Kuna Mzaliwa wa Iraq juzi tu aliteuliwa kuwa Waziri, wakina Sunak na wengine

Kutokea kwenye historia, Taifa la Uingereza limechangia kwa kiasi kikubwa ustawi wa taifa la Israel, wakina Rotschild wamechangia sana 'maendeleo ya kijamii' na kusapoti serikali tangu enzi na enzi. Tukumbuke pia ndio waliowapatia Taifa la Israel baada ya kuwapa huru

Kweli kabisa nguvu zao zipo kila mahali

Huyu Zahawi ni Mkurdi na mzaliwa wa Iraq
Imagine post yake na bado ni Chemical Engineer
Sasa Sisi hata police bila mbantu huwaoni natamani serikalini pia waanze kuwaondoa watu ubaguzi kwa kuwasajili na kuwapa kazi wazawa waarabu, Wasomali na hata kuwaalika Wahindi kwenye serikali zetu

Sioni tatizo lolote angalia kama wao wanafanya hivyo na ndio taifa kubwa na la zamani Kwanini sisi tushindwe

Huwa sioni mijadala kama hii inafanyika
Je ni jinsi tulivyokuzwa na kuiona serikali ikiwatenga?
 
Wewe hata hujui kinachoendelea ndio shida ya kupuuza elimu dunia na kukalia makorokocho yasiyo weza kukusaidia ona sasa unavyoumbuka.
Dah mtu anayeipa elimu nafasi ktk ulimwengu huu huwa namuona wa maana sana. 🤣🤣🤣 Hongera sana chief utazeeka vizuriii
 
We nato mweusi unateseka Sana .... Putin shikilia apo apo

Mimi likija suala la Russia ni Pro Russia haswa tena namuunga mkono Putin wala haihusiani lolote na Boris
Huu ni mjadala tofauti na ninajadili kinachoendelea

Usigeuze mada
 
Kweli kabisa nguvu zao zipo kila mahali

Huyu Zahawi ni Mkurdi na mzaliwa wa Iraq
Imagine post yake na bado ni Chemical Engineer
Sasa Sisi hata police bila mbantu huwaoni natamani serikalini pia waanze kuwaondoa watu ubaguzi kwa kuwasajili na kuwapa kazi wazawa waarabu, Wasomali na hata kuwaalika Wahindi kwenye serikali zetu

Sioni tatizo lolote angalia kama wao wanafanya hivyo na ndio taifa kubwa na la zamani Kwanini sisi tushindwe

Huwa sioni mijadala kama hii inafanyika
Je ni jinsi tulivyokuzwa na kuiona serikali ikiwatenga?
Watakwambia kwani watanzania wenye sifa wameisha ?
 
Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha.
===
Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake hazijajulikana ambazo zimepelekea kujiuzulu kwa mawaziri na maafisa wengine wa ngazi ya juu waliodai kuwa wamekosa imani na uongozi wa nchi wa Johnson.

Msukosuko huo ulianza Jumanne wake, kufuatia kashfa ya unyanyasaji wa kingono inayomuhusisha Chris Pincher – mbunge wa Conservative ambaye yuko karibu na Johnson, akiwa Waziri wa uchumi , Rishi Sunak , na Waziri wa afya. Sajid Javid, viongozi wakuu katika serikali, walijiuzuru.

Sunak alidai kuwa raia wanaitarajia serikali iendeshwe kwa njia "inayofaa, uwezo na kwa umakini "; huku Javid akidai kuwa utawala wa Johnson "haufanyi kazi kwa maslahi ya taifa".

Tangu wakati ule, katika kipindi cha saa 24, zaidi ya maibu mawaziri 40 na maafisa wengine wa ngazi ya juu wamewasilisha barua zao za kujiuzuru.

Jumatano Michael Gove, mjumbe wa muda mrefu wa baraza la mawaziri, alimuomba Waziri mkuu ajiuzuru. Ombi hili baadaye liliungwa mkono naa maafisa kadhaa wa ngazi ya juu, akiwemo Waziri wa mambo ya ndani Priti Patel.

Mawaziri kadhaa muhimu wa nchi hiyo pia walihudhuria makao makuu ya serikali ya Uingereza katika ofisi ya Waziri mkuu 10 Downing Street, ambao waliidhinisha uungaji mkono wao wa kumtaka Jonson aendelee kuwa mamlakani. Hawa ni pamoja na Waziri wa utamaduni,Nadine Dorries, na Waziri wa fursa za Brexit Opportunities, Jacob Rees-Mogg.

Kwa upande wake, Boris Johnson anaonekana kupinga uwezekano wa kung’atuka madarakani na badala yake alimuondoa mamlakani Gove, mtu ambaye amekuwa muhimu katika chama cha Conservative Party kwa muongo uliopita.

''Boris Johnson wants tanataka kuendelea kupambamba .Anaamini ana watu wa kutosha wanaomzingira wanaoweza kumuwezesha kusonga mbele ,"Waziri Dorries salielezea kwa kifupi alipokuwa akiondoka katika makao makuu ya serikali Jumatano usiku.

Boris amekuwa ni kiongozi Uingereza ambaye amepokea barua za kujiuzuru nyingi zaidi tangu mwaka 1932, alikabiliwa na maswali ya wabunge Jumatano kuhusu utawala wake, ambako alieleza wazi utashi wake wa kuendelea kubakia mamlakani.

Miito inayomtaka ajiuzuru inakuja mwezi mmoja baada ya Waziri huyo mkuu kukabiliwa na hoja ya kutokuwa na imani naye ambapo 41% ya wabunge kutoka chama chake walipiga kura dhidi yake.

BBC Swahili
Safi Sana bado yule Babu wa USA



na kichapo kiendelee Ukraine
 
Back
Top Bottom