Waziri Mkuu wa Uingereza ndiye mwenye nguvu zaidi kuzidi Mfalme/Malkia

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa na legislative power

Mfalme yupo zaidi kama figure head lakini real power ipo kwa Waziri Mkuu.

Ff1kJUaUYAA4Eqr.jpg
 
Wenzetu hawana mambo ya kipumbavu, et uhamiaji wanataka origin ya babu yako ili iweje. Ulaya na Marekani hakuna mtu hapendi kuishi kule. Serikali inajali, Lloyd Austin secretary wa ulinzi wa Marekani ni pure black. Sasa njoo hapa Afrika utasikia Babu zake wawe Raia wa kuzaliwa.
 
Tena weusi ndiyo wanaubaguzi sana wakifatiwa na ndugu zao waarabu. Tumekaa kipumbavu sana.
 
Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa na legislative power

Mfalme yupo zaidi kama figure head lakini real power ipo kwa Waziri Mkuu.

View attachment 2396811
Jeshi lipo chini ya nani?
 
Wenzetu hawana mambo ya kipumbavu, et uhamiaji wanataka origin ya babu yako ili iweje. Ulaya na Marekani hakuna mtu hapendi kuishi kule. Serikali inajali, Lloyd Austin secretary wa ulinzi wa Marekani ni pure black. Sasa njoo hapa Afrika utasikia Babu zake wawe Raia wa kuzaliwa.
Licha ya yote hayo lakini mwislamu hawezi kuwa waziri mkuu Uingereza mpaka mwisho wa dahari.
 
Akili za kukalili hizi, siku huzi unaweza hata kutafuta habari mitandaoni, we andika hapo kwenye simu yako, ni kiongozi gani mwenye madaraka na nguvu za kiuatawala uingereza? Narudia tena, nguvu ya utawala sio utendaji.

Hata hapa Tanzania waziri mkuu utamuona kwenye shughuli nyingi za utendaji, lakini sio mkuu wa nchi wala, mtawala mwenye nguvu.

Kwa kukusaidia tu, malkia au mfalme wa uingereza pia ni mkuu wa nchi ya Canada, Jamaica, Australia nk

Nguvu au utawala wa malkia auhojiwi popote, na yoyote. Hakuna kuchaguliwa au kuteuliwa na yoyote... ni urithi wa familia. Ndio maana tukiwaambia neno democracy ni ujinga wa kuitawala Africa msiwe mnabisha.
 
Ndio maana tukiwaambia neno democracy ni ujinga wa kuitawala Africa msiwe mnabisha.

Nakazia MKUU
 
Habari za Form one hizo . Ana nguvu ya kiutendaji japo kuna kuomba baraka za mfalme . Westminster system
Wazir mkuu ni mtendaj tu usisahau hilo , bunge linafanya kila kitu , HUKO ni ulaya angalia hata mabunge yao tofauti na mabunge yenu ya Rais kumtoa Spika wa Bunge kisa kaponda kuhusu mikopo
 
Ndio maana tukiwaambia neno democracy ni ujinga wa kuitawala Africa msiwe mnabisha.

Nakazia MKUU
ila na sisi tusiwe wapumbav wa kusema kisa fulan ni mpumbav akituambia tufanye mema tubishe ili tuwe mpumbav kama yeye
 
Back
Top Bottom