Akili za kukalili hizi, siku huzi unaweza hata kutafuta habari mitandaoni, we andika hapo kwenye simu yako, ni kiongozi gani mwenye madaraka na nguvu za kiuatawala uingereza? Narudia tena, nguvu ya utawala sio utendaji.
Hata hapa Tanzania waziri mkuu utamuona kwenye shughuli nyingi za utendaji, lakini sio mkuu wa nchi wala, mtawala mwenye nguvu.
Kwa kukusaidia tu, malkia au mfalme wa uingereza pia ni mkuu wa nchi ya Canada, Jamaica, Australia nk
Nguvu au utawala wa malkia auhojiwi popote, na yoyote. Hakuna kuchaguliwa au kuteuliwa na yoyote... ni urithi wa familia. Ndio maana tukiwaambia neno democracy ni ujinga wa kuitawala Africa msiwe mnabisha.