Habari za Form one hizo . Ana nguvu ya kiutendaji japo kuna kuomba baraka za mfalme . Westminster systemBangi ni mbaya, haikupendi.
Tena weusi ndiyo wanaubaguzi sana wakifatiwa na ndugu zao waarabu. Tumekaa kipumbavu sana.Wenzetu hawana mambo ya kipumbavu, et uhamiaji wanataka origin ya babu yako ili iweje. Ulaya na Marekani hakuna mtu hapendi kuishi kule. Serikali inajali, Lloyd Austin secretary wa ulinzi wa Marekani ni pure black. Sasa njoo hapa Afrika utasikia Babu zake wawe Raia wa kuzaliwa.
Jeshi lipo chini ya nani?Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa na legislative power
Mfalme yupo zaidi kama figure head lakini real power ipo kwa Waziri Mkuu.
View attachment 2396811
Licha ya yote hayo lakini mwislamu hawezi kuwa waziri mkuu Uingereza mpaka mwisho wa dahari.Wenzetu hawana mambo ya kipumbavu, et uhamiaji wanataka origin ya babu yako ili iweje. Ulaya na Marekani hakuna mtu hapendi kuishi kule. Serikali inajali, Lloyd Austin secretary wa ulinzi wa Marekani ni pure black. Sasa njoo hapa Afrika utasikia Babu zake wawe Raia wa kuzaliwa.
Acha ramli umejuaje?Licha ya yote hayo lakini mwislamu hawezi kuwa waziri mkuu Uingereza mpaka mwisho wa dahari.
Mwislamu hawezi kuwa Waziri mkuu wa Uingereza, hata mkristo mkatoliki ni Tony Blair tu ndio alifanikiwa, vipo vya kubisha lakini siyo hili.Acha ramli umejuaje?
Kwa hiyo ni dhehebu lolote maadamu Mkisto?Mwislamu hawezi kuwa Waziri mkuu wa Uingereza, hata mkristo mkatoliki ni Tony Blair tu ndio alifanikiwa, vipo vya kubisha lakini siyo hili.
Dini rasmi ya UK ni Anglican.
Ndio maana tukiwaambia neno democracy ni ujinga wa kuitawala Africa msiwe mnabisha.Akili za kukalili hizi, siku huzi unaweza hata kutafuta habari mitandaoni, we andika hapo kwenye simu yako, ni kiongozi gani mwenye madaraka na nguvu za kiuatawala uingereza? Narudia tena, nguvu ya utawala sio utendaji.
Hata hapa Tanzania waziri mkuu utamuona kwenye shughuli nyingi za utendaji, lakini sio mkuu wa nchi wala, mtawala mwenye nguvu.
Kwa kukusaidia tu, malkia au mfalme wa uingereza pia ni mkuu wa nchi ya Canada, Jamaica, Australia nk
Nguvu au utawala wa malkia auhojiwi popote, na yoyote. Hakuna kuchaguliwa au kuteuliwa na yoyote... ni urithi wa familia. Ndio maana tukiwaambia neno democracy ni ujinga wa kuitawala Africa msiwe mnabisha.
Walio tufundisha ubaguzi ni waarabu shenz kabisaTena weusi ndiyo wanaubaguzi sana wakifatiwa na ndugu zao waarabu. Tumekaa kipumbavu sana.
Sasa hilo mie silijui na kwanini ulazimishe kuwa Kiongozi wa Waangalikani wakati wewe ni muuislam?Licha ya yote hayo lakini mwislamu hawezi kuwa waziri mkuu Uingereza mpaka mwisho wa dahari.
Wazir mkuu ni mtendaj tu usisahau hilo , bunge linafanya kila kitu , HUKO ni ulaya angalia hata mabunge yao tofauti na mabunge yenu ya Rais kumtoa Spika wa Bunge kisa kaponda kuhusu mikopoHabari za Form one hizo . Ana nguvu ya kiutendaji japo kuna kuomba baraka za mfalme . Westminster system
huyo mpuuz anaelewa ila ushabiki wa kitoto ndo unamtia ujingaJeshi lipo chini ya nani?
kwa nchi za ulaya inaezekana ila haez kuwa mpuuz kama hawa wa jfLicha ya yote hayo lakini mwislamu hawezi kuwa waziri mkuu Uingereza mpaka mwisho wa dahari.
ila na sisi tusiwe wapumbav wa kusema kisa fulan ni mpumbav akituambia tufanye mema tubishe ili tuwe mpumbav kama yeyeNdio maana tukiwaambia neno democracy ni ujinga wa kuitawala Africa msiwe mnabisha.
Nakazia MKUU