JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Ibada za kishetani na utawala ni Pete na Kidole
Huyo ni mnyamwezi anadumisa mila yake toka kwa mama.The new UK PM performing his spiritual/traditional rituals before entering his new office. We African have largely abandoned ours.
Hili dude hili silipendi acha tu.Hapa kwetu Nyerere alituachia zindiko la mwenge.
Hata Mo alifanya hivyo pale Kwenye Jengo la Makolo SCHuyo ni mnyamwezi anadumisa mila yake toka kwa mama.
jamaa anatambika mchana kweupe peee...anajipigilia misumari, wapende wasipende wazungu watampenda tu, kujiuzulu wasahau, hatajiuzuluKatika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya.
The new UK PM performing his spiritual/traditional rituals before entering his new office. We African have largely abandoned ours.
Source: This Is Africa
https://twitter.com/ThisIsAfricaTIA
Uchawi mchana kweupeeeeeKatika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya.
The new UK PM performing his spiritual/traditional rituals before entering his new office. We African have largely abandoned ours.
Source: This Is Africa
https://twitter.com/ThisIsAfricaTIA
Linatulaza kwa huzuni kuu. Nchi haifanikiwi sababu ya roho hii ya mwenhe.Hili dude hili silipendi acha tu.
Sasa kisukuma na kifaransa ni daraja moja jameni? Ungesema kiswahili sawaHapa tuna watu wanasema kuongea kilugha ni ushamba....tuna watu wanafuta thread za kisukuma na kuacha za kifaransa YinYang
Hapa kwetu Nyerere alituachia zindiko la mwenge.
Kimoja ni asili yetu, kingine kilikuja na mashuaSasa kisukuma na kifaransa ni daraja moja jameni? Ungesema kiswahili sawa
Asili yetu kisukuma? Au asili yako msukuma?Kimoja ni asili yetu, kingine kilikuja na mashua