She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,184
Asili ya baadhi ya watanzania.Asili yetu kisukuma? Au asili yako msukuma?
Kifaransa ni asili ya mtanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asili ya baadhi ya watanzania.Asili yetu kisukuma? Au asili yako msukuma?
Baadhi sasa wewe ukiweka wa kisukuma mimi niweke wa kiluguru mwingine wa kimakonde itakua nini hio?Asili ya baadhi ya watanzania.
Kifaransa ni asili ya mtanzania?
Itakua vurugu na ukabila.Baadhi sasa wewe ukiweka wa kisukuma mimi niweke wa kiluguru mwingine wa kimakonde itakua nini hio?
Linatulaza kwa huzuni kuu. Nchi haifanikiwi sababu ya roho hii ya mwenhe.
Isaya 50:11
Itakuwa fresh, mbona zipo nyuzi za maudhui kibao tu hulalamiki?Baadhi sasa wewe ukiweka wa kisukuma mimi niweke wa kiluguru mwingine wa kimakonde itakua nini hio?
Tumlaumu Forojo GanzeLinatulaza kwa huzuni kuu. Nchi haifanikiwi sababu ya roho hii ya mwenhe.
Isaya 50:11
Ni Ushirikina Mtupu hilo limoto!!!
Aliyewaletea hayo makoti yenu ya dini mnayojivunia ndio hajawahi acha mila zake, ninyi huku mnajionea fahari Utumwa wenu.Ibada za kishetani na utawala ni Pete na Kidole
Nani sasa unamkaripiaAliyewaletea hayo makoti yenu ya dini mnayojivunia ndio hajawahi acha mila zake, ninyi huku mnajionea fahari Utumwa wenu.
Inakera sana!
Aliyeliona karipio ndiye limuhusulo, ukifit humo nawe hangaika nalo.Nani sasa unamkaripia
Uchawi mchana kweupeeeee
Usiwe unakrupuka kuquote wanaume , utashikishwa ukutaAliyeliona karipio ndiye limuhusulo, ukifit humo nawe hangaika nalo.
Usiwe unakrupuka kuquote wanaume , utashikishwa ukuta
Na bado utajiona una haki ya kuwasilisha fikra zako hadharani. Kibaya zaidi kuna watoto ambao wanaweza angukia malezi yako.Usiwe unakrupuka kuquote wanaume , utashikishwa ukuta