3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,589
- 16,336
- Thread starter
-
- #41
Ha ha mkuu 3,900 hapanaIdadi ya watu duniani ni karibu ya watu Billion 8 (7.9bn)- kwa takwimu hizi nusu ya dunia walikuwa wanafuatilia! Sio rahisi. Youtube wana viewers wasiofikia 2.5bn duniani. Nadhani statistics sio kwa Bilioni bali kwa Milioni- ambapo bado ni wengi yaani viewers 3.9m ni wengi sana- possible pia ni 3,900 pekee - tunaweza kucheck wenyewe kwenye social media zote!
Ni mapema mno kusema hivyo sababu hizo takwimu zimefanyika lini? Wakati tukio la Kumuaga Dodoma lilifanyika jana?Kwa hiyo nusu ya dunia ilifuatilia shughuli ya jana siyo mchezo
Huenda kuna watu walipewa kazi hiyo kwa hiyo leo wametoa taarifa za awaliNi mapema mno kusema hivyo sababu hizo takwimu zimefanyika lini? Wakati tukio la Kumuaga Dodoma lilifanyika jana?
Mifumo inasoma siku hizi kila mtu unaetumia mtandao.Simu,au TvHivi Majaliwa anajua idadi ya watu duniani ni around 8b? anamaanisha zaidi ya 50% walifuatilia? Au alimaanisha 39milioni?
Anaanza kuzoea hii tabiaAkiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
8b halafu wenye itaneti ni nusu ya hao, kwa hiyo watu wote wenye intaneti walikuwa wanaangalia tz janaHivi Majaliwa anajua idadi ya watu duniani ni around 8b? anamaanisha zaidi ya 50% walifuatilia? Au alimaanisha 39milioni?
Hata kama lakini majibu ya twakwimu yasingeweza kuletwa mapema hivi maana shughuli bado inaendelea,Kama takwimu za watu waliofuatilia duniani kote jana ni wengi kiasi hiko? Mbona hapa hapa nyumbani uchaguzi wa jimbo limoja unaweza chukua saa 72 bila kuwa na matokeo yake. ? Kuna uwezekano wa waziri kupika takwimu .Huenda kuna watu walipewa kazi hiyo kwa hiyo leo wametoa taarifa za awali
Hapo Rwanda tu watu walikuwa na maisha yao kama kawaida, hamna hata TV iliyoonyeshaLabda inawezekana, ila nikiona dunia ina watu bilioni 7.67, napata shaka kama karibu nusu ya watu duniani kweli walimfuatilia
Ukitazama clip ya RC akikanusha unaona kabisa sisi watanzania hatuko kama binadamu wengine .inawezekana kuna hatua tulivuka ya evolution of man..Kama Jana walikanusha maduka kufungwa kwa nguvu Kariakoo na Dodoma, bado mnawaamini hawa waliosema Magufuli ni mzima tarehe 15/3 ghafla wakatangaza kifo chake 17/3 utadhani kafa kwa ajali!
3.9bil/7.9bil×100%=aprox 50%
Kwamba 1/2 ya watu wote duniani walifuatilia hio kitu?
Za kuambiwa changanya na zako
3.9bil/7.9bil×100%=aprox 50%
Kwamba 1/2 ya watu wote duniani walifuatilia hio kitu?
Za kuambiwa changanya na zako
Mkuu Tanzania haifahamiki wala haina umaarufu wowote DunianiMimi naona ni sahihi, kipindi cha Michael Jackson watu wengi hawakuwa na smartphone kuliko sasa kuna Tecno, Infinix, Oppo n. k ambazo zina bei nafuu.
Magufuli kilicho mpa umarufu sana duniani ni ile msimamo wake wa kipekee wa kuikabili CoVID-19.View attachment 1732390