Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.

Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Mh......!! Haya sawa
 
Hivi waziri wetu anaweza kutofautisha kati ya Billion na Milioni?
Nina mashaka nae kwa sasa kuwa ni mtu wa propaganda tofauti na nilivyofikiri kwanza kuwa ni mtu mnyoofu na mkweli.
 
Ni kweli fuatilieni hiyo taarifa.
tapatalk_1616465957811.jpeg
 
Always mtu mashuhuri kwa ubaya au kwa wema watu wanajiandaa kuona mwisho wake
Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.

Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
 
Huyu mtu ni mwongo mnooooo
Yani ni mwongo kweli kweli... na hana hata haya..
Anataka kutuambia idadi ya watu wanaotazama huo msiba umezidi hata watu wanaotazama mechi ya mwisho ya fainali za kombe la dunia...!!
Hebu wangetueleza ni TV ngapi za nje ya Tanzania zimeonyesha hilo tukio live kiasi kwamba idadi yoote hiyo kubwa ya watu kuweza kulifuatilia.... sanasana walioweza kufuatilia ni kwa njia ya mtandao tu na hao wengi wao ni watanzania walio nje ya nchi pamoja baadhi tu ya raia wa nchi hizo za nje wanaojuajua na wanaopenda kufuatilia siasa tanzania...
 
Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.

Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Kwa hivyo Magufuli ametoa ngoma droo na Michael Jackson😀😀😀
 
Back
Top Bottom