Basi global intelligence na foreign intelligence ndiyo waongo. Maana wao walitoa hizo data jana. Live streaming za YouTube nazo zinakuwaga za uongo kumbe. Maana Kuna mwanamuziki alipata viewer 7.8 billion inamaana dunia mzima ilimuangalia?Sababu ni kuwa ni uongo mtupu, na hakuna mtu wa kumfatilia hata hapo Kenya watu walikuwa busy na mambo yao.