crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 867
ko unaona iyo handle iko sahihiMimi naona ni sahihi, kipindi cha Michael Jackson watu wengi hawakuwa na smartphone kuliko sasa kuna Tecno, Infinix, Oppo n. k ambazo zina bei nafuu.
Magufuli kilicho mpa umarufu sana duniani ni ile msimamo wake wa kipekee wa kuikabili CoVID-19.View attachment 1732390