Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

“Tunavishukuru vyombo vya habari vimekuwa na sisi toka siku ya kwanza kuwahabarisha Watanzania, hata tukio hili mnalirusha duniani kote. Mpaka jana jioni tunazo taarifa watu waliofuatilia tukio la kuaga kitaifa jana Dodoma ni zaidi ya watu bilioni 3.9” Alisema Kassim Majaliwa.

 
Event kubwa(Category ya mazishi) duniani iliyovunja rekodi ni ya Michael jackson(Memorial Service) ,ilikuwa na viewers bilioni 2.
Inawezekana kweli mkuu, tupate kujua tu waliangalizia channel zipi live, maana BBC, Al Jazeera na zingine hakuna live, labda tbc 1 3.5 bil inamaana uchukue india nzima, China nzima na Africa nzima kwa pamoja.
 
Upuuzi huu, wamejuaje na wakat tulikuwa bize kutafakari namna maisha yataenda chini ya rais mpya
 
Hivi Majaliwa anajua idadi ya watu duniani ni around 8b? anamaanisha zaidi ya 50% walifuatilia? Au alimaanisha 39milioni?
Hii ni hapa ya juzi. Jemedari amevutia watu wengi duniani kwa uchapakazi wake! Haya pingana na hawa mabeberu!!
IMG-20210322-WA0056.jpg
 
Mkuu Tanzania haifahamiki wala haina umaarufu wowote Duniani
Msimamo wa Hayati JPM dhidi ya Corona, ndiyo umetufanya Tanzania kujulikana Dunia nzima kwa muda mfupi sana,japo tulishaanza kujulikana kidogo!!
 
Msimamo wa Hayati JPM dhidi ya Corona, ndiyo umetufanya Tanzania kujulikana Dunia nzima kwa muda mfupi sana,japo tulishaanza kujulikana kidogo!!
Hivi akili hizi huwa mnatoa wapi,yaani msimamo wa kishirikina ndio ufanye dunia itujue,kunywa marimao na matangawizi kama wapumbavu,kujifukiza na kupiga nyungu,kweli uwendawazimu ni kipaji[emoji16]
 
Hivi akili hizi huwa mnatoa wapi,yaani msimamo wa kishirikina ndio ufanye dunia itujue,kunywa marimao na matangawizi kama wapumbavu,kujifukiza na kupiga nyungu,kweli uwendawazimu ni kipaji[emoji16]
Una fikra za kitumwa,umeharibiwa na Mbeligiji!!
 
Acha wivu mpk kwa marehemu,Tafuta verified Twitter account.
Uwe na akili wakati mwingine,mtu mzima kichwa kimejaa uji,hii habari imewekwa na account ambayo inaaminika ndio imetoa habari hii, nimescreen shot hiyo twitter unaniambia nitafute verified account,una akili nzuri kweli?.hebu wewe nitafutie hiyo verified account uweke hapa,upunguze ujinga eti wivu,unaujua wivu wewe.
Screenshot_20210323-145309_1.jpg
View attachment 1732582
 
Back
Top Bottom