Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

Hizo data kapata wapi..wasitake kumfanya Magu Ni mtu maarufu sana kuliko hata Mandela! Maana anataka kusema robo tatu ya dunia walimwangalia!! Bull shit!
Acha tu mkuu,yaani kuna mijitu mijinga humu yaani hadi unashangaaa[emoji1787][emoji1787]
 
Warekebishe hawa mkuu
Idadi ya watu duniani ni karibu ya watu Billion 8 (7.9bn)- kwa takwimu hizi nusu ya dunia walikuwa wanafuatilia! Sio rahisi. Youtube wana viewers wasiofikia 2.5bn duniani. Nadhani statistics sio kwa Bilioni bali kwa Milioni- ambapo bado ni wengi yaani viewers 3.9m ni wengi sana- possible pia ni 3,900 pekee - tunaweza kucheck wenyewe kwenye social media zote!
IMG-20210322-WA0027.jpg
 
Sawa wewe mwenye mawazo ya kizalendo endelea kutumia majani ya michongoma,changanya shubiri pia,weka na majani ya migomba na nyanya chungu ndani yake,usisahau pia kuweka mavi ya mbuzi na ng'ombe kikombe kimoja Bw Mzalendo,unywe mara tatu kwa siku[emoji1787][emoji1787]

NOTE.WAAMBIE WAZALENDO WENZIO WAKUTENGENEZEE SIMU/LAPTOP YA KUTUMIA ILI USICHANGANYWE NA MAWAZO YA KITUMWA,MAANA UNATUMIA SIMU/LAPTOP YA MABEBERU.
Vp wwe ushachoma Chanjo ya Corona!?
 
Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.

Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.

“Tunavishukuru vyombo vya habari vimekuwa na sisi toka siku ya kwanza kuwahabarisha Watanzania, hata tukio hili mnalirusha duniani kote. Mpaka jana jioni tunazo taarifa watu waliofuatilia tukio la kuaga kitaifa jana Dodoma ni zaidi ya watu bilioni 3.9”
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Ila Tanzania[emoji1787]
 
Hivi akili hizi huwa mnatoa wapi,yaani msimamo wa kishirikina ndio ufanye dunia itujue,kunywa marimao na matangawizi kama wapumbavu,kujifukiza na kupiga nyungu,kweli uwendawazimu ni kipaji[emoji16]
wewe jamaa ni mtumwa wa akili yani kujifukizia ni ushirikina inaelekea umekulia town jifunze kutofautisha wa wapigaramli na mitishamba
 
wewe jamaa ni mtumwa wa akili yani kujifukizia ni ushirikina inaelekea umekulia town jifunze kutofautisha wa wapigaramli na mitishamba
Hivi wewe usiye mtumwa wa akili,akili inakutuma kabisa kwamba mataifa kama USA,ITALY, ISRAEL, RUSSIA,IRAN,UAE, GREAT BRITAIN, SPAIN, BRAZIL,FRANCE NA GERMANY ambako wamekufa mamia kwa maelfu ya watu wataalam wake wa afya hawajui matumizi ya TANGAWIZI,KUJIFUKIZA NA LIMAO kuokoa raia wao?

Ujinga huu uishie kwako,ukiwaambukiza watoto watashindwa hata kuvuka barabara.
 
huyu PM nilikuwa namuona mtu wa maana kumbe hovyo tu. kuna watu wana madaraka makubwa lakini weupe
Hata kama aliongopewa na yeye ilitakiwa achanganye na za kwake....Viewers bilioni 3.4 sijui 3.9 kwa siku ni masihara hayo....Kwenye uapizo tu wa kina obama/joe biden hawakuvuka live streaming 35m wakati USA tu kuna population ya 300m+.
 
Back
Top Bottom