G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,788
- 1,967
Aiseeee..huo uongo aliusemea msikitini!!?Huyu mtu tangu adanganye ndani ya msikiti kuwa rais ni mzima wa fya ,simwamini hata kidogo
Hakuna namna na yeye tumuombee tu"
Aiseeee..huo uongo aliusemea msikitini!!?Huyu mtu tangu adanganye ndani ya msikiti kuwa rais ni mzima wa fya ,simwamini hata kidogo
Nakuelimisha kwa mara ya mwisho,ukiendelea na ujinga wako basi[emoji16][emoji16]Bado unashangaa?View attachment 1732618
Chombo gani Mkuu, nisome?Habari hiyo imeripotiwa kwanza na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani na sio Tanzania.
Muwe mnaacha uongo hiyo handle haiko verified
Aliyekuwa na msimamo kama huo sio yeye tu, kuna nchi inaita Belaraus n Rais wake alikuwa na msimamo kama huu? Leo ni watanzania wangapi wanaifahamu Belaraus?Msimamo wa Hayati JPM dhidi ya Corona, ndiyo umetufanya Tanzania kujulikana Dunia nzima kwa muda mfupi sana,japo tulishaanza kujulikana kidogo!!
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kudanganya kuhusu 3.9b? Hivi unaijua Biii wewe?
Eti demonic weapon [emoji23][emoji23] peleka huko akili za kushikiwa,unalishwa ujinga jitu zima unakwenda tu kama kondoo.
Nakuelimisha kwa mara ya mwisho,ukiendelea na ujinga wako basi[emoji16][emoji16]View attachment 1732661
Nakuelimisha kwa mara ya mwisho,ukiendelea na ujinga wako basi[emoji16][emoji16]View attachment 1732661
Nakuelimisha kwa mara ya mwisho,ukiendelea na ujinga wako basi[emoji16][emoji16]View attachment 1732661
Na foreign intelligence wamesema ya Magufuli imeipiku ya MJ na Princess DianaEvent kubwa(Category ya mazishi) duniani iliyovunja rekodi ni ya Michael jackson(Memorial Service) ,ilikuwa na viewers bilioni 2.
Sio takwimu ya Majaliwa maana mimi nimeona jana kutoka foreign intelligence na global intelligenceTuna waziri mkuu bogus, ambaye Hana exposure hata kidogo....
Kama una Twitter account kacheck foreign intelligence au global intelligence utaona hizo dataHata kama lakini majibu ya twakwimu yasingeweza kuletwa mapema hivi maana shughuli bado inaendelea,Kama takwimu za watu waliofuatilia duniani kote jana ni wengi kiasi hiko? Mbona hapa hapa nyumbani uchaguzi wa jimbo limoja unaweza chukua saa 72 bila kuwa na matokeo yake. ? Kuna uwezekano wa waziri kupika takwimu .
Kutokana na issue ya COVID Tanzania imepata umaarufu mkuuMkuu Tanzania haifahamiki wala haina umaarufu wowote Duniani
Na foreign intelligence wamesema ya Magufuli imeipiku ya MJ na Princess Diana
Afadhari umemkumbuka mkuu,maana alipoiweka Oppo kundi moja na tecno,Aitel na infinix nilishangaa sana,kuna mashine za Oppo bei mkasi kito moto m[emoji3]Unapoongelea bei nafuu usiijumuishe oppo na hizo takataka Tecno na Itel.
Oppo inauzwa bei ya Makisai halafu ya moto sana.Afadhari umemkumbuka mkuu,maana alipoiweka Oppo kundi moja na tecno,Aitel na infinix nilishangaa sana,kuna mashine za Oppo bei mkasi kito moto m[emoji3]