Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 728
- 2,032
Utashitakiwa na jamhuri kwa kosa la kupost imoji za kucheka (ishara ya kucheka au kufurahia) ndani ya siku 21 za maombolezo.Was this necessary???
Yeuwii taifa limeachwa uchi kitaifa na kimataifa kwa kutaka kutamba eti msiba wetu kuwa umefana kweri-kweri[emoji1787][emoji1787]
Wasambaza screenshot za kutunga Wanahasira sana.
[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]