Tlg
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 804
- 612
why should we believe that now?Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo ya moja kwa moja.
“Tunavishukuru vyombo vya habari vimekuwa na sisi toka siku ya kwanza kuwahabarisha Watanzania, hata tukio hili mnalirusha duniani kote. Mpaka jana jioni tunazo taarifa watu waliofuatilia tukio la kuaga kitaifa jana Dodoma ni zaidi ya watu bilioni 3.9” - Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
population ya dunia nzima nia around 7 to 8 billion unaposema watu 3.9 to 4 billion unamaanisha half of the world population walikuwa wakitazama ukitoa wagonjwa waliomahututi dunia nzima , watoto below 7 years tuki assume hawamiliki nyenzo za ku stream haya matukio na vikongwe vilivolala visivyojiweza tunaweza weka watu wenye afya dunia nzima more than 70 percent walikuwa wanafuatilia
N.B fifa world cup mwaka 2018 ilikuwa streamed na watu takribani 1.1 billion yani imezidi fainali ya kombe la dunia?