macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Huu ujinga peleka huko huko kwa wajinga wenzako mkaelimishane. Hapa kuna watu wenye kujielewa.kuna watu wanashindwa kuelewa anaposema billion 3.9 wamefuatilia matangazo ipo hivi BBC wanao idadi ya watu wanaosikiliza matangazo yao,DW na redio zingine. Ukianza kujumlisha idadi ya watu wanaofuatilia na kusikiliza BBC, DW, VOA Na vyombo vingine vya habari dunia waliotangaza habari ya kifo inaleta idadi hiyo