Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
basi bongo tungekufa maelfu maana hatukuwa na service zote za viwango vya juu Wala kuvaa barakoa.Hivi wewe usiye mtumwa wa akili,akili inakutuma kabisa kwamba mataifa kama USA,ITALY, ISRAEL, RUSSIA,IRAN,UAE, GREAT BRITAIN, SPAIN, BRAZIL,FRANCE NA GERMANY ambako wamekufa mamia kwa maelfu ya watu wataalam wake wa afya hawajui matumizi ya TANGAWIZI,KUJIFUKIZA NA LIMAO kuokoa raia wao?
Ujinga huu uishie kwako,ukiwaambukiza watoto watashindwa hata kuvuka barabara.