Waziri Mohamed Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI, aenda kuhiji Makkah

Anajaribu kujutia uharamia aliofanya na ukiomba sio lazima ukubaliwe.
 
Mlango wa kuomba msamaha upo wazi masaa yote, haijalishi umetenda yapi muhimu umuendee mola wako kwa nafsi safi, kutoa hukumu sio kazi ya binadamu.
Kuna haja ya kupiga picha na kutuonyesha unafiki wako? Unaomba msamaha kwa Muumba wako aliye sirini au kwa watu watakaoiona hiyo picha?

Unapoomba msamaha kwa Muumba wako ina maana unajutia madhambi yako ns unaacha. Akirudi ataacha kazi na kutubu kuiba kura na kuengua wapinzani na kuacha hiyo kazi?
 
Hii ni Umra sio hijja
Pale ni mahala patakatifu kwa waislamu anapoenda kufanya site ya maonyeaho ya still picture kuwa yuko patakatifu na kuleta propaganda za lumumba na uchawa ni kupakosea heshima mahala ambapo kuna watu wanapaheshimu
 
Mods heading ibadilishwe
Hija muda wake bado sana kwa sababu ni majuzi tu hapa watu wametoka kuhiji. Mtu akienda maka nje na msimu wa hijja hatusemi amekwenda kuhiji bali tunasema amekwenda umra. Ikumbukwe hijja ni nguzo ya tano miongoni mwa nguzo za uislamu na ina mwezi maalumu katika mwaka (mwezi wa mwisho katika mwaka wa kiislamu -dhulhijja)
 
Utakufa Vibaya wheweee.
 
Kabla hajaenda kavuruga uchaguzi, na sasa akirudi huko anakuja kuwaharibieni uchaguzi na kuteka na kuua wale wasio wapenda.
This God thing must be a Joke.
 
Kabla hajaenda kavuruga uchaguzi, na sasa akirudi huko anakuja kuwaharibiani uchaguzi na kuuawale wasio wapenda.
This God thing must be a Joke
Nimekumbuka heading ya ile movie "the God's must be crazy " kama yuko active ajionyeshe ukuu wake sasa
 
Kweli mungu hayupo, huyu alieharibu uchaguzi wa serikali za mitaa eti naye mtakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…