Waziri Mohamed Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI, aenda kuhiji Makkah

Hakuna kosa au dhambi isiyosameheka mbele ya Mungu.
 
Hakuna kosa au dhambi isiyosameheka mbele ya Mungu.
Ukienda kuomba msamaha siyo kujipost na mapicha sehemu watu wanazoamini ni takatifu kwao, na post ndefu ya uchawa kwa mkwe aliyekupa mamlaka ya kuiba uchaguzi.
Acheni utani na huyo Mungu hataki machawa, mnapeleka uchawa hadi kwa Mungu
 
Kama wewe ni mcha Mungu,niambie ni katika kitabu gani cha dini palipoandikwa kuwa kama dhambi imetendwa kwa makusudi haitasameheka ukitubu kwa dhati.
 
...kila mtu atalipwa kulingana na nia yake...

Kama ni show-off basi atalipwa nayo....hakika Allah hana hamnyimi mja wake,ata jambazi anapewa
 
Anatekeleza napi aliosema ukishafanya haramu na nusu haramu unaenda kutubu, wabongo wasahaulifu sana yani
 
Kama wewe ni mcha Mungu,niambie ni katika kitabu gani cha dini palipoandikwa kuwa kama dhambi imetendwa kwa makusudi haitasameheka ukitubu kwa dhati.
Nani aliyetubu kwa dhati sasa?
 
NETANYAHU kabla hujastafu hakikisha unalipua Huu mji hii ni dhihaka na ww upo usikubali hili suala Fanya Yako ISRAEL lipua lipua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…