Waziri Mpya Wizara ya ujenzi nakudokeza tu kuwa Tanroad reshuffle hasa Watendaji mikoani.

Tukiseama wewe ndio bwana Kadogosa umekuja humu kujipigia promo,tutakuwa sawa bilashaka!!
 
Aanze na yule wa mkoa wa Arusha amekaa miaka zaidi ya 20 unategemea ana kipya zaidi ya mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…