Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

Gauni kubwa na soksi za nailoni wamekuvisha sawa sawa umewekwa uchi na kanchi population yake kama Dar es salaam.


Yaani sisi wa kwenda kujifunza RWANDA wakati huyo MKULU wao katoka MONDULI tumemtrain wenyewe.

Kumbe Dar ina population ya watu 13mil?Itakua sensa ilifanyikia hapo Lumumba chini ya Musiba.
 

Kilo ya sukari pamoja na mafuta ya kupikia yanakuwa ghari zaidi kuliko Lita moja ya petrol na wala Serikali haishtukii trend hii ya ajabu!! Siku moja nikawa najiuliza labda tuanzishe tena tume ya bei ili walao pawepo check and balance na sio kuwaachia wafanya biashara kufanya wapendalo as if our Administration imekwenda likizo!!
 

Kweli aisee ila itakua wale watengenezaji wa magari ya nyumbu walishauriwa vzr maana kwa sasa gari za nyumbu zimeteka soko lote la Africa Mashariki mpk tunatafuta na soko lingine huko west Africa.
 

Ttcl wenyewe kazi ya MD/CEO walimpa kada wa UVCCM hapo ubunifu huo unaousema utatoka wapi?
 
Hii ni fedheha, waziri Mulamula alikuwa Japan ambo wao wanatengeneza magari alipokuwa kule alikuwa anakula tende. These people need to be serious, ndio sababu JPM alikuwa anawachukia sana NGO's maana wanajaza ujinga kwa baadhi ya Watanzania.
 
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Tanzania tutaanza kununua magari kutoka Rwanda kwa wale wanaopenda VW

Mulamula amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda cha VW huko Rwanda akiwa na mh Rais Samia.

Huyu Mulamula mie namuona kituko sana. Hivi hajaona kwamba huko Rwanda wanaendesha magari upande wa kulia tofauti na Tanzania kabla hajatoa matamko kama haya?

Ningependa Mulamula aniambie kwa nini Tanzania tusinunue VW toka Kenya ambako nao wana kiwanda cha VW na wanatengeneza magari ya ya usukani kulia kuendana na kuendesha gari upande wa kushoto kwa namna ya barabara zetu

Hebu mpeni hii ramani Mulamula atundike ofisini. Mwambie nchi za red wanaendesha kulia na nchi za bluu wanaendesha kushoto. Rwanda ni red.

Na hizo VW kuzileta Dar (Tanzania kwa ujumla) toka Kigali au Nairobi, kipi rahisi?

 
Hii ni fedheha, waziri Mulamula alikuwa Japan ambo wao wanatengeneza magari alipokuwa kule alikuwa anakula tende. These people need to be serious, ndio sababu JPM alikuwa anawachukia sana NGO's maana wanajaza ujinga kwa baadhi ya Watanzania.

Na ni wkt JPM ambako VW iliwekewa urasimu mpk ikaamua kwenda Rwanda.
 

Hivi kuassamble LHD kwenda RHD umeambiwa ni ngumu kiasi gani?

Weka Balance of payment ya Tz vs Kenya na Tz vs Rwanda tupate somo hapa.
 
Hii Nchi aisee unaweza kutukana na ukaenda jela bure kaita waandishi kuwaambia Watanzania tutaanza kununua magari Rwanda...[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hivi kuassamble LHD kwenda RHD umeambiwa ni ngumu kiasi gani?

Weka Balance of payment ya Tz vs Kenya na Tz vs Rwanda tupate somo hapa.
Kwa nini ujipe shida yote hiyo wakati Kenya ambayo nayo ni nchi ya East African Community ina assembly plant ya VW za RHD, na Rwanda na Kenya wote wana affiliation ya VW na South Africa?

Halafu jiulize gharama ya kutoa gari Kigali kuja Dar na kuitoa Nairobi kuja Dar.
 

Hivi hata maana ya balance of payment unaijua lkn?

Unajua kuendelea kununua bidhaa kenya hilo gap la ‘unfavourable ‘ linavyokua?
 
Hivi hata maana ya balance of payment unaijua lkn?

Unajua kuendelea kununua bidhaa kenya hilo gap la ‘unfavourable ‘ linavyokua?
Kwa hiyo hiyo gap ya balance of payments tunaipunguza kwa kuingiza magari toka Rwanda badala ya Kenya?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

Ooooh mama mbavu zangu!!!!!!!!
 
Kwa hiyo wamekwenda kuomba wawe soko la magari yanayotengenezwa rwanda siyo?
Hakuna jeshi lililoongozwa na mwanamke lililowahi kushinda vita.
 

Hahaha hahah hahah nafurahi sana kuona nadiscuss ngumbalu wa mambo ya kiuchumi,anaona gharama za kiuchumi ni gharama za kusafirisha gari tu,hahahah hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…