Wasalam!
Mkoa wa Arusha naweza sema kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya ukiukwaji wa sheria za kazi hasa kwa makampuni binafsi.
Naomba nisiyataje hapa ila nishauri tuu kuwa ipo haja ya kupitia malalamiko ambayo ni mengi mno yamefikishwa idara ya kazi mkoa wa Arusha lakini bahati mbaya sana waliopeleka malamiko ndio wameingia matatizoni kwa sababu taarifa ya kua wamepeleka malalamiko idara ya kazi yamefikishwa kwa makampuni wanayofanyia kazi.
Kuna malalamiko juu ya:
Ninaomba waziri mwenye dhamana, saidia watanzania wengi wanaopitia shida nyingi kwenye makampuni yao. kuna malalamiko mengi sana yamenyamaziwa bila kujua sababu hasa ni nini.

- Mikataba ya kazi
- Kufukuzwa kazi bila notisi wala malipo yeyote
- Mafao ya NSSF kutopelekwa kwa wakati
- Kubambikiwa kesi na kufukuzwa kwa makosa yasiyo ya kweli.
- Kucheleweshwa kw mishahara.