Tatitizo ni sheria zisizoeleweka nafikiri hata hao idara ya kazi wenyewe wanashindwa kuzitafasiri, na wafanya kazi waache kuwaona waajiri wao ni sehemu ya kupata pesa za bure, utaajiriwa na utakuwepo kazini kama kampuni inazalisha na inatengeneza faida na wewe unazalisha hapo kazini.
Kama haya hakuna mwajiri hana namna ya kukuacha hapo kwenye kazi łazima mfanyakazi uelewe hilo. sio ukisimashwa kazi break ya kwanza idara ya kazi kabla ya kufikiri kama malalamiko yako ni ya ukweli au unataka kupata pesa za zuluma.