Waziri Mwigulu apendekeza sheria mpya ya Serikali kununua vitu vilivyotumika (mtumba)

Yale mabehewa sijui vichwa vya treni vilivyokosa mwenyewe ulikuwa wakati wa nani
Ilikuwa kipindi cha upigaji dili kama sasa. Yaani unaagiza kisha unakuja kuuzia shirika..baada mbaya vilichelewa kuja vikakuta regime nyingine.

Kuna miaka fulani wakati David Mataka akiwa mkurugenzi wa ATC enzi za ufisadi kama sasa, basi yeye pamoja na wenzie kina kapteni Mazola (rip) waliagiza mavolvo kwa jina la ATC, yalipofika tu wakajimilikisha.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
inasikitisha sana
 
Nchi ya wapigaji hii.
Hakuna siku mtakaribiana na ile nchi ndogo iliyojiondoa kutoka muungano na uchina yenye aridhi hata mkoa wa Dar mkubwa mara tatu yake.

Sisi issues kubwa ni kurudishana nyuma huku tunagawa maliasili zetu kupitia hawa tu mnaita Marais.

Yangu ni elimu najifunza.
 
Mkuu, Nakubaliana na point yako namba mbili, kiukweli hapo kwenye tender hasa kwa manunuzi madogo madogo chini ya 50M ni matumizi mabaya ya fedha na hata muda.

Kitu cha 50M kushuka chini, kinachukia hadi miezi 4 au 5 kupatikana?? maana somtime unaambiwa ameshindwa kuleta mzigo sababu ya kiweka bei ya chini zaidi, hivyo tenda kurudiwa.

Nadhani Waziri aangalie namna ya kuanzisha timu za Manunuzi kwa kila Taasisi, ambazo zinaweza kusimamia manunuzi ya moja kwa moja bila kutumia njia ndefu zinazo sababbisha urasimu, gharama kubwa na matumizi mabaya ya muda.

Mf, Timu inakuwa na mchanganyiko wa maafisa kitoka idara tofauti na katibu wao anakuwa Afisa Manunuzi. Hawa wanaweza kutembelea maduka makubwa au viwanda tofauti, wakiridhika wanaandika kumtaarifu Mkuu wa taasis kuwa, wameridhishwa na bidhaa flan hivyo zinunuliwe kwa gharama flan.

Mambo yangeenda haraka sana. ie. Manunuzi ya moja kwa moja, yawe chini ya Tah 50M.

Sheria yetu ina refusha sana mchakato wa kupata bitu vyenye thaman ndogo, sheria hii Inaumiza sana utemdaji kazi serikalini
 
Yale mabehewa sijui vichwa vya treni vilivyokosa mwenyewe ulikuwa wakati wa nani
Ilikuwa enzi ya Kikwete na ubinafsishaji wa TRC kwa wahindi.
Ndipo Magufuli alipoingia madarakani na wahindi wakajiongeza na kuyatelekeza pale, wakakimbilia kwao Mumbai.
 
Ndiyo maana Magufuli aliamua kuihamishia serikali Dodoma kwa force akaunti, bila hivyo isingewezekana.
 
Bihemo njoo utetee hapa
 
Ndiyo maana Magufuli aliamua kuihamishia serikali Dodoma kwa force akaunti, bila hivyo isingewezekana.
Wanabaki kiwaonea Maafisa manunuzi kuwa wanachelewesha michakati, lakini ukweli ni kuwa, sheria ya manunuzi haijawahi kuwa rafiki kwa watenteji wa kada ya manunuzi.

Tatizo linaanzia kwenye utungwaji, mentality ya watu ni kudhibiti wanaosimamia, wakati uhalisia ni kuwa, sheria zina athiri utendaji wa Idara nyingine zinazotegemea kupata huduma toka kwa manunuzi.

Bado naamini, michakati mirefu ya manunuzi ni adui wa maendelea kwenye Taifa letu
 
Uko sahihi
 
Hii ni common sense. Gari yako ikiharibika carburettor unaenda Gerezani kupata kuukuu iliyochukuliwa kwenye gari jipya lililopata ajali. La muhimu ni wahisika kuwa be careful.
 


Husimlaumu sana.


Labda kaona kwa sababu hata Serikali ya sasa ni ya Mtumba?
 
Hiyo sheria ilipitishwa na yule janja janja wa msoga
Hicho kifungu kipo kwenye Public Procurement Act,2011
 
Ndiyo maana Magufuli aliamua kuihamishia serikali Dodoma kwa force akaunti, bila hivyo isingewezekana.
Wpinzani walikataa na kusema hawezekan na amn umhmu wakiweka magharma makubwa sijui ya 3trilln ,kuhamisha makao makuuya nchi ili hali iliwezekana chini ya 30bil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…