Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

Kwa nilifuatilia uchambuzi wa Finance Bill yao nikaona ngoja Leo nimsikilize Waziri wao akiwasilisha bajeti

Hali yao ni Ngumu sana

Nilikuwa naangalia Citizen tv🐼
 
Swala ajira kwa vijana limekuwa changamoto kwa sababu vijana wengi hawana ubunifu...wanakariri walivyo fundisw!! Pia elimu yetu aiendani na soko la dunia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…