Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu


LUMUMBA street
Buku 7 kwa siku
Kwani mitandao ya kijamii ni kituo cha police [emoji601] ??
 
Hivi hakuwa na jibu lingine zaidi ya hili?. No Dr. Mnamsingizia hawezi kujichomekea hivi maana haijui kesho yake ikiwa amtegemeaye hayupo.
 
Jaribu kupunguza upumbavu wewe..
Uhai wa Binadamu hauwezi kupotezwa kirahisirahisi kama uyo mjinga Mwigulu anavyosema.
 
Polisi ndo wamepoteza then uende polisi kureport si na wewe utapotezwa?
 
What goes around comes around , siku akija kupotea yeye asije kupiga kelele , Kama mahakama zipo kwanini wao ndio wanatoa hukumu ya kifo ?

Mungu siyo fala .
 
Kwa jinsi ulivyo punguwani unadhani kila mtu yupo kwenye Mtandao Kama wewe! Shame on you! Ndio ninyi mnaoongelea Maendeleo ya nchi mkiwa Masaki na Oyster Bay mkidhani ndiyo Maendeleo yaliyopo Gamboshi ama Ipililo ama Isangabuye!
 
Afya ya akili ya Nnchemba imebaki kwenye mikutano ya uchaguzi kuipinga CHADEMA tuu
 
What goes around comes around , siku akija kupotea yeye asije kupiga kelele , Kama mahakama zipo kwanini wao ndio wanatoa hukumu ya kifo ?

Mungu siyo fala .
Sasa atapgia kelele wapi wakat atakua keshapotezwa..hiz hakil za wap hizi
 
Kwa vile ana data hizo awataje kwa majina na sababu za kupotea kwao sio blabla tu.
 
Yaani hayo ni majibu ya kipuuzi mno. Ni kawaida yao kutoa majibu mepesi namna hiyo. Hivi Ben Saanane alikuwa mhalifu, Azory Gwanda alikuwa mhalifu? Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibondo alikuwa mhalifu? Shame on you Mwingulu Nchemba.
 
Baadhi.....% ngapi ya waliopotezwa walikuwa waharifu? PhD holder huyu. Stupid.
Sampuli hio ndo wanaotegemea kutuvusha,kwetu uhai hauna thamani akipotea mtu sawa na Kuku,majibu mepesi,majarada yanafungwa,uchunguzi unaendelea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…