Waziri Mwigulu: Magari yetu ya Mizigo yanakwama sana Mpakani Horohoro, nitachukua hatua

Waziri Mwigulu: Magari yetu ya Mizigo yanakwama sana Mpakani Horohoro, nitachukua hatua

Haya mambo mda mwingine hayaitaji kuongea ongea sanaa ni kuimplement tu, wakiweka mguu 1 sie tuweke 2 , sasa nashangaa tuna bembelezana

Na jino kwa jino inakubalika sana kwenye medani za diplomasia, japo haishauriwi sana kutumika.
 
Kenya na Wakenya, tutahangaika sana na hao watu; ninacho kijua kuhusu hao jamaa ni kwamba, wangependa mizigo inayotoka Tanzania magari ya kwao ndio yafanye hiyo kazi; anyway waziri nakupongeza kwamba mambo 2, kwa kuvaa nembo ya Yanga ukiwa safarini na hilo la kushughulikia issue za huo mpaka wa Kenya na sisi but najua matatizo hayataisha na huyu jirani yetu.
 
Kenya ni fulltime mabepari. Ndivyo mfumo wa kibepari ulivyo, huwezi kuwalaumu.

Huo sio ubepari huo ni upumbavu. Ubepari ni kufanya mambo kwa nia ya kujinufaisha na uwazi. Wanachofanya wakenya ni utoto wa kuweka vikwazo uchwara kwa kujifichaficha. Kama hutaki mtu aje kwako huna budi kumwambia sio leo marais wanakutana mnakubaliana 1 nyie mnaenda kufanya 2.
 
Hilo tatizo mpaka kapata safari ya Mombasa ndio kagundua ina maana bila safari hawajui matatizo ya huku chini wanaambiwa kupo shwari...basi aweke utaratibu wa kuwa field mara kwa mara..
 
Back
Top Bottom