Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
- Thread starter
-
- #21
Haya mambo mda mwingine hayaitaji kuongea ongea sanaa ni kuimplement tu, wakiweka mguu 1 sie tuweke 2 , sasa nashangaa tuna bembelezana
Inaongelewa horohoro mkuu.Mbona Namanga hali ni shwari?
Maafisa forodha wa Kenya wapo upande wa Tanzania na hakuna foleni kabisa
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ninaelewa sana mkuu.Inaongelewa horohoro mkuu.
Ninaelewa sana mkuu.
Ninachojaribu kusema ni kuwa Namanga hahao Wakenya na Tz wanafanya kazi kituo kimoja.. forodha ya pamoja iweje Horohoro iwe tofauti?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kenya ni fulltime mabepari. Ndivyo mfumo wa kibepari ulivyo, huwezi kuwalaumu.