Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

K yote ulisha katwa ikatupwa huko vichakani umebaki na nini dada, ? Yaani unachekesha, nyie ndio mnatuongezea laana kwenye nchi hadi kodi zinapanda hovyo hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani weye hujakatwa baba?? Basi weye ni mzima.
YaaniNdo zetu ukanda huu mopaka somalia!! sisi hatulembi tena tunakata hasa! Na kisu siyo wembe! Uliza popote.

Hata wewe ukitukalia vibaya anga zetu!! Na tabia za kike kike. Tunakata fasta. Lengo ni Tunakuacha utumike!!
Sisu ndo sisi bana alaa!
 
Watanzania tutalalamika wiki ya kwanza tu ikianza ile ya pili wote tumesahau kama vile hakuna kilichotokea.
 
Mama anaupiga mwingi

Kapunguza 1% may mosi

Kalipizia kwenye mafuta na miamala mnapiga kelele

Miaka 100 kwa mama akeeeeeee[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mama kamaliza kibubu cha marehem sasa inabidi atafute pesa zakujaza kibubu yeye alikuta pesa nyingi alijua zinaingia kama usiku na mchana. Yeye alisema wafanyabiashara walidhulumiwa pesa zao, lakin yeye ana dhulum pesa za wanyonge,, mataijir hawa tumi pesa kwenye mitandao ya SIM.
 
Kwani weye hujakatwa baba?? Basi weye ni mzima.
YaaniNdo zetu ukanda huu mopaka somalia!! sisi hatulembi tena tunakata hasa! Na kisu siyo wembe! Uliza popote.

Hata wewe ukitukalia vibaya anga zetu!! Na tabia za kike kike. Tunakata fasta. Lengo ni Tunakuacha utumike!!
Sisu ndo sisi bana alaa!
Oky man cool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoletewa pesa ya msaada kutoka kwa wazungu inabidi utambue namna ilivyopatikana.

Ni hivi hivi kwa kujibana, huwezi kila siku ukawa mtu wa kupokea tu wakati umekwenda shuleni ili uelimike kwa faida ya wote wanaokuzunguka.

Huwezi jenga nchi kwa njia za ujanja ujanja inabidi ufike muda wa kukubali kuchunika, hakuna namna.
 
lakin Rais ana uwezo mkubwa wakuzuia zisitumike
Zinakwenda kutumika kwa faida ya nchi nzima mkuu. Lengo pana ni nchi kutekeleza miradi mikubwa kwa pesa za ndani.

Pesa ya kuomba ina masharti magumu na mara nyingi haipatikani ndani ya muda inayotakiwa ipatikane.
 
Zinge ongezwa kwenye vitu vya vingine, pombe, na vifaa vinavyo toka nje ya nchi mfano, vyakula, vifaa vya ujenz na fenicha
 
Kuna siku nilisikia huyu mama anasema alisoma uchumi, mpaka unashangaa pamoja na taaluma yake hiyo ameshindwa kutambua kuwa kuongeza kodi ya dhuruma kwenye miamala ya simu ni kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Serikali na wachumi uchwara wanakaa wanaweka jumla yakodi tatu kwenye muamala mmoja wa simu hizi si dharau za waziwazi nakutuona mazuzu ,wanapandisha kwa makusudi bei ya mafuta kitu ambacho ni kichocheo namba moja cha ushughuli za kiuchumi nchini.

Jambo la kuchekesha zaidi nikaona hapa hakuna kiongozi nikupunguza kodi kwenye vitu ambavyo havina tija kwenye uchumi wa nchii, yaani mtu anapunguza kodi kwenye betting/gambling ,pombe halafu anapandisha tozo kwenye gharama ya mafuta.

Yaani mama katika vipaumbele vyako vyote kwenye shughuli za kiuchumi nikuchochea kamali na unywaji pombe, vingine vyoote umepiga chini. Watu wanasema mwigulu anakufanyia hujuma sio kweli vitu vidogo kama hivyo havihitaji mpaka usome macro economics yaani umepwaya kweli kweli.

Oky kodi mmeshaanza kuchukua jee zitasaidia vipi wananchii kama sio kuibia masikini, Mama ebu rejea bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ya mwaka 21/22 asilimia 80 ya bajeti yote ni matumizi binafsi asilima 20 ndio inapelekwa kwenye shughuli za maendelea.
Matumizi binafsi wanalipana posho mara mbili mbili, vikao visivyo na tija, wanakula bata huku wakiaacha raia kwenye janga la umasikini.

Uongozi mbovu,, muundo wa serikali mbovu, bunge bovu, katiba mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1855593
Ulipo Nipo

unnamed-1.jpg
 
Kama nchi tulipita kipindi kigumu sana. Biashara zilifungwa, watu walifilisiwa, kodi nyingi za haramu zilibambikwa kwa wafanyabiashara. Aliyejaribu kufungua mdomo wake kulalamikia hayo labda asijulikane. Vinginevyo angetekwa kisha ama akapotea kabisa au akabambikiwa kesi itakayomuweka mahabusu muda mrefu au angehujumiwa kwa namna yoyote

Inashangaza kuona Wabongo ni wasahaulifu kiasi hiki. Angalau sasa kuna japo kauhuru ka kulalamikia hayo hadharani na usiwe na hofu ya kupotezwa. Au labda wanaotoa maneno makli dhidi ya awamu ya sita ni wale wachache sanasana waliokua wafaidika wa utawala ule!

Kodi hizi za miamala ni mbaya lakini haiondoi ukweli kwamba awamu iliyopita ilikua ya kidhalimu sana. Lakini kutamani eti ile hali ya mambo ya awamu ya tano irudie tena kwa Watanzania ni roho mbaya na utovu wa shukrani kwa Mungu wetu. Angalau Mama na serikali yake hamkamati mtu kwa kupinga sheria mbaya.

Mimi naamini ni suala la muda tu kodi kandamizi zitafutwa kutokanana na usikivu wa awamu ya sita. Lakini kutamani kurudi tulipotoka HAPANA
Wewe ndo huelewi mambo, toka awamu ya nne wafanyabiashara wakubwa walikuwa hawalipi kodi halali, watumishi wa TRA ndo walikuwa wanachukua % kwa wafanyabiashara hawa na kuwaandikia Tax clearance. Mzigo wa Kodi uliachwa kwa watumishi wa serikali au private (PAYE) pamoja na wafanyabiashara wadogo wadogo.

JPM alipoingia kwanza alitaka wafanyabiashara wakubwa wallipe Kodi na pia alifuatilia malimbikizo ya Kodi za nyuma ambazo wafanyabiashara hawa walikwepa kipindi cha nyuma.

Matokeo ya malimbikizo hayo ndo yalipelekea baadhi ya akaunti kushikiliwa na badhi ya biashara kufungwa. Kwa hiyo siyo kwamba wafanyabiashara walionewa au kubambikiziwa madeni na kuporwa pesa zao, hayo yalikuwa ni malimbikizo ya Kodi walizotakiwa kulipa kipindi cha nyuma.

Kinachoendelea awamu hii kwa kulegeza kamba kwa wafanyabiashara wakubwa matokeo yake itasababisha mzigo wa Kodi urudi kwa wafanyabiashara wadogo na wananchi maskini. Awamu hii ni awamu ya wafanyabiashara wakubwa kuneemeka na masikini kuwa na wakati mgumu zaidi.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Zinge ongezwa kwenye vitu vya vingine, pombe, na vifaa vinavyo toka nje ya nchi mfano, vyakula, vifaa vya ujenz na fenicha
Hata huko huwa wanalalamika wahusika.

Kodi siku zote haipendwi lakini ndio inayoendesha maisha ya mataifa makubwa.
 
Kweli haya ni mateso!
Baba Mungu uliyetuumba Watanzania, ikumbuke nchi yetu Tanzania, Wakumbuke Watanzania, Vikumbuke vizazi vyetu kama ulivyowakumbuka watoto wako wana wa Israel wakiwa utumwani Misri. Baba usiyakumbuke maovu ya ujana wetu wala maasi yetu yote. Tumekukimbilia wewe Bwana tusigharikishwe na mkono wa adui. Tutendee kwa ukarimu sawa na wingi wa Rehema zako.i Katika Jina Takatifu ya Yesu Kristo aliyehai milele tunakuomba. Amen.
Haya maombi ya hivi yalijibiwa kwa kuondoka kwa shetani mwendakuzimu,sasa sijui yatajibiwa vipi!..
 
To hell!! Primitive nosense am not arguing.am offerin' free education for all!!.

It's true, u'r not at ma level of understanding.
If u can't give simple explanations like dat' u'r totally nigger from de forest!!

Stop dat behaviour!
Vomited broken English from The Ass Kisser
 
Hizo kodi zimepitishwa na wabunge 100% CCM waliopita bila kupingwa na mawaziri wa Magufuli. Lipa kodo acha kulalamika
Binafsi yangu mama simlaumu. Nailaumu sisitimu ya CCM .Kungekuwa na mchanganyiko WA vyama vya upinzani upuuzi huo usingepitishwa bungeni. Ila ninalolifurahia ni moja Tu..wabunge jisasahau kuwa na mama zao na Bibi zao wanasulubika Kwa tuzo hiyo. Wabunge wotee Nyamafu Sana.
 
Zinakwenda kutumika kwa faida ya nchi nzima mkuu. Lengo pana ni nchi kutekeleza miradi mikubwa kwa pesa za ndani.

Pesa ya kuomba ina masharti magumu na mara nyingi haipatikani ndani ya muda inayotakiwa ipatikane.
Mpuuzi wewe
 
Wewe ndo huelewi mambo, toka awamu ya nne wafanyabiashara wakubwa walikuwa hawalipi kodi halali, watumishi wa TRA ndo walikuwa wanachukua % kwa wafanyabiashara hawa na kuwaandikia Tax clearance. Mzigo wa Kodi uliachwa kwa watumishi wa serikali au private (PAYE) pamoja na wafanyabiashara wadogo wadogo.

JPM alipoingia kwanza alitaka wafanyabiashara wakubwa wallipe Kodi na pia alifuatilia malimbikizo ya Kodi za nyuma ambazo wafanyabiashara hawa walikwepa kipindi cha nyuma.

Matokeo ya malimbikizo hayo ndo yalipelekea baadhi ya akaunti kushikiliwa na badhi ya biashara kufungwa. Kwa hiyo siyo kwamba wafanyabiashara walionewa au kubambikiziwa madeni na kuporwa pesa zao, hayo yalikuwa ni malimbikizo ya Kodi walizotakiwa kulipa kipindi cha nyuma.

Kinachoendelea awamu hii kwa kulegeza kamba kwa wafanyabiashara wakubwa matokeo yake itasababisha mzigo wa Kodi urudi kwa wafanyabiashara wadogo na wananchi maskini. Awamu hii ni awamu ya wafanyabiashara wakubwa kuneemeka na masikini kuwa na wakati mgumu zaidi.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Huyo aliekuja kukusanya Kodi Hadi anakufa ;

1. Hakuajiri Kama awamu ya 4
2. Hakuongeza madaraja watumishi
3. Hakuongeza mishahara watumishi
4. Alipunguza vyeti feki ila hakuajiri kuziba pengo
5. Alikopa zaidi ya awamu zote
 
Mama anaupiga mwingi

Kapunguza 1% may mosi

Kalipizia kwenye mafuta na miamala mnapiga kelele

Miaka 100 kwa mama akeeeeeee[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sasa mimi nilishangaa nilipoona ile 1% nikipiga ni kwamba mshahara addition ni Tsh2,500.

Akutukanae hakuchagulii tusi aisee.
 
Back
Top Bottom