Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Mbaya zaidi mtatumia hela hizihizi kutuibia uchaguzi 2025
 
Mkuu umepaniki kupita kiasi,embu punguza jaziba.Hakuna kodi kokote duniani inayo kusanywa kwa makubaliano ya wanachi wote.
 
Tatizo ni pale pesa izo izo
zinapo tumika kutengeneza Masanamu na vitu vingine visivyo na kipaumbele kwa Taifa...
 
Mkuu umepaniki kupita kiasi,embu punguza jaziba.Hakuna kodi kokote duniani inayo kusanywa kwa makubaliano ya wanachi wote.

Kodi kwenye miamala ya simu inaweza kua fursa kubwa kwa uwakala wa bank ambapo makato haya hayapo!, na pengine pia ni plani ya serekali kurudisha pesa nyingi kwenye β€˜mfumo rasmi’ Ingawa
Ingependeza kama walau hadi 50,000 isingehusishwa, kelele zingepungua lkn ingekua msaada mkubwa kwa watu wa viwango fulani maeneo ya vijijini.[emoji846]
Lkn kwa ujumla kodi hii ni NZURI NA NI HALALI. Nikiangalia umeme wa REA vijijini natamani kuona pia barabara za lami , suluhisho la Bima ya afya nk
 
Tatizo ni matumizi mabaya ya Kodi zetu, utasikia zimeenda kujenga Sanamu, kununulia wastaafu benzi,
 
Vinawezekana ukichochea uzalishaji na sio kupora watu.Kodi ni lzm iwe ya kulipika na sio kukomoa
 
Solidarity Fund?

Ukishiba na kusaza...

Futilieni mbali sheria ya FAO LA KUJITOA NSSF
Bora amefafanua Ili kulia Lia hovyo kupungue.

Ishu ya FAO la kujitoa tafadhari Mwigulu na wenzako mkija na maneno matupu msimu ujao hatutaelewana
 
We kenge acha kuropoka upumbavu hapa,mikopo na uporaji ndio vilikuwa vinaendesha nchi .

Lipa kodi sasa hayo makato ndio kodi ya ndani yenyewe
 
Na ndio maana Mwendazake alikuwa anayadanganya yanashangilia tuu..kwa uchumi gani aliojenga mwendazake hadi apate pesa ya ndani?

Walipe kodi Makato sasa hivi ndio mapato ya ndani hayo sasa ya kujivunia sio propaganda uchwara
 
Tofautisha kuwabana watu walipe kodi na kupora pesa kwenye account,ndio maana wengi walikimbia na uchumi ulianguka mkaishia kulishwa propaganda.

Pili barabara unazosema kajenga ni huko Dar,Dom na miradi mikubwa ya umeme,madaraja na reli ambavyo hadi anatoka hakuna kilichokamilika.

Kwenye ujenzi wa barabara mikoani hakuna alichofanya cha maana hadi tunamzika barabara za Mikoa ambazo hazikuunganishwa na lami ameondoka ziko hivyo hivyo mfano Kanda ya magharibi yote hakuna barabara ya lami mkoa hadi mkoa,Nyanda za Juu Mbeya Tabora/Singida ni mavumbi tupu, Morogoro Songea mavumbi na nyingine nyingi tuu.

Lakini Maza mwaka huu tu wa kwanza katangaza tenda za barabara mpya hizo nilizotaja hapo juu na miradi inaendelea kama kawaida.Pesa zimetoka kwenye tozo na ongezeko la shughuli za biashara baada ya wafanyabiashara kuwa na confidence na sera za Maza.









 
Sasa huwezi fuatilia malimbikizo unayoita ya nyuma hakuna pesa ilikuwa iddle pesa ilikuwa committed tayari kwa hiyo hicho kitendo autotically ni uporaji maana walishaopewa clearance afu kusema hawakulipa si kweli bali walilipa labda useme pungufu..Kama hawaKulipa Rais angeendesha vipi Nchi?

Pili kwamba eti saizi ni zamu yao pia sio sawa saizi ni zamu ya kila mtu kutumia fursa, kwani sheria zimebadilika? Kwani TRA wameambiwa wasifikishe malengo? Target ziko pale pale.

Wanaojiita maskini lazima walipe kodi kwenye miamala na tozo nyingine maana hakuna vya bure.Nyie subirini mwisho wa mwaka tuulize malengo yalifikiwa au hapana.

Kwa tathmni yangu ya mwenendo wa Serikali hii inaonesha Maza atafanikiwa zaidi kuliko Magu maana pesa atakusanya ya kutosha, biashara zinafunguka, wawekezaji wanakuja na miradi mipya imeanzishwa huku akimalizia iliyoanzishwa na Magu.

Binafsi nimeamua nifufue kampuni yangu ya ujenzi maana huko TARURA na Tanroads kumenoga , force Account kote kunogile.Sasa kaa usitumie fursa utakuja kujuta Serikali iko mbioni ku pump 5 T kwenye uchumi ,usipochangamkia fursa utaishia kusoma kwenye magaseti.
 
Natamani huyu mpumbavu nimshushie bonge la tusi ila sikufinzwa hivyo
 
Fala mwingine huyo
 
Panya kabisa huyu, hio skafu lake sijui anafutia manii kimtu cha ajabu
 
Na ndio maana Mwendazake alikuwa anayadanganya yanashangilia tuu..kwa uchumi gani aliojenga mwendazake hadi apate pesa ya ndani?

Walipe kodi Makato sasa hivi ndio mapato ya ndani hayo sasa ya kujivunia sio propaganda uchwara
Watanzania ujinga ndio mtaji wa wanasiasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…