Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Ujinga mtupuSerikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kuiunganisha nchi kwa kutengeneza miundombinu mipya ya barabara katika maeneo yasiyofikika ambayo kwa asilimia kubwa yapo vijijini.
Alafu maendeleo yenyewe ni kuunda kamati za kuchunguza vyanzo vya Moto na kupishana on road kwa viongozi kuanzia rais dar-ddm+dd-dr Kama bajajiHiko ni kipigo cha mchana kweupe[emoji28]
Naomba kujulishwa, ipo faida kuunganisha nchi kwa barabara na hata zile za angani,je sii hasara said kuitenganisha/kuigawanya nchi kwa itikadi za kisiasa, na kiuchumi na kutoyasikiliza matakwa ya wengi ,ikiwa ni pamoja na Kariba mpya iliyobeba mengi yanayohitaji marekebisho ya kweli,uhuru wa habari, uhuru wa maoni, uhuru wa kisheria kulinganga na matakwa ya katiba.Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kuiunganisha nchi kwa kutengeneza miundombinu mipya ya barabara katika maeneo yasiyofikika ambayo kwa asilimia kubwa yapo vijijini.
Kwanza solidarity ipi bila consent ya mtoaji ? Waseme tu wanatuchangisha kurudisha pesa zao walizokosa kipindi cha aliyeendaSolidarity fund na majizi, wahuni na mafisadi!?
Kabisa mzee yani kabisa mwenye njaa ndio anaelewa au aliye nje ya madaraka! Nimeskiliza clip moja ya werema aliekuwa mwanasheria wa serikali! Anadai katiba mpya ni muhimu sababu madaraka ya raisi ni makubwa hatukatai ila mbona hajasema hilo akiwa mwanasheria mkuu wa serikali!Mswahili mwenye akili ni yule mwenye njaa
Kabisa MKUUNalipwa basic salary 980K, baada ya makato yao lukuki naondoka na kama 510K.
Lakini wameona haitoshi, wanaendelea kuinyemelea tena hii 510K?
Naomba niwahakikishie viongozi wetu kwamba hata kama ningekuwa mzalendo kiasi gani saivi sina hata chembe ya huo uzalendo.
Na nikipata upenyo wa kupiga nitapiga mpaka senti ya mwisho.