Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Miwatu kama hiyo ni ya kucharazwa viboko mia moja ili akili zimrudie,

Na mbona aongea kama anatusuta vile? Tumemkosea nini sisi wananchi wanyonge [emoji23]
 
Mwiguru anapaswa kuja na mpangonwa Serikali wa kupunguza matumizi, Hii Serikali ina matumizi makubwa sana.

Bajeti yenyewe % kubwa ni matumizi ya kawaida...
Una point lakini uandishi wako unahatarisha afya zetu. MWIGURU MWIGURU ndio utumbo gani
 
Mtangulizi wa mama yeye alikuwa na mbinu zake kama kubana sana matumizi ya serikali, kufuta baadhi ya shughuli ambazo aliziona zilitumia pesa nyingi bila kuwa na manufaa ya mojakwamoja kwa mtanzania, aliwabana sana wakwepa kodi pamoja ni ile ya vitambulisho vya wajasiriamali(siku hizi sioni kama inatiliwa mkazo).

Mbinu hizi zilimpa pesa kwa urahisi sana. Pengine serikali hii ingetafuta namna ya kuziboresha mbinu hizi kama kulikuwa na madhaifu ili ziendelee kutumika kwa manufaa ya watanzania wote.
 
Kuna pesa huwa zinakatwa miaka nenda rudi kwenye mafuta na hata kwenye magari yanayoingizwa nchini inaitwa railway levy, lakini bado utaambiwa pesa kibao zimeshakopwa kwa ajili ya SGR na bado utaambiwa hakuna pesa kukamilisha mradi wa SGR, halafu unatuletea hapa takataka nyingine, sijui solidarity fund..........yaani mnajikusanyia pesa kwa ajili ya matumizi yenu ya kifisadi mnakuja kutulaghai na maneno ya solidarity fund, hopeless....
 
tunasafari ndefu sana na hatujui tutafika lini kama mchezo tuliocheza madarasa ya chini! Kama huyu mwenye Phd na mbobezi wa uchumi anaweza kuja na kutetea hili bado tuko mbali sana.

mwisho wa siku ni kama kawaida Ng'ombe anayechelewesha safari ni wa mbele anapigwa Ng'ombe wa nyuma! tunajibu maswali Magumu kwa majibu raisi!? kweli? haya hiyo solidality inaisha lini kwa kuwa michango ya hiyari ina muda wake!

ni ujinga kulinganisha bei ya mafuta ya nchi yetu na majirani kama Kenya je tulishalinganisha mzunguko wake wa uchumi ukilinganisha na wakwetu?

Aibu tengenezeni mazingira mengine ya kugharamia watu na serikali na sio kufanya mizaha na fedha za watu wanazozipata kwa shida mno bila kwenda kwa waganga kama baadhi yenu wanavyofanya kisha mwataka wazitumie kwa machozi!
this is Rubish!
 
Kuna Shule zinakusanya watoto mpaka 1500 au 1000 na Shule haina maji wanaambiwa waende Shule na kidumu cha maji, sasa tunafanyaje ili maji yapatikane? ndio maana kuna uwepo wa kukatwa Tsh. tano kila unapotuma hela kwa ajili ya huu mfuko wa mshikamano"———Mwigulu via Clouds360

jinga sana hilo, hiyo milio ni kila mtu anaweka milio? Tunazungumzia huduma zinazomgusa kila mtu moja kwa moja hatuzungumzii extras
 
Huu ni uwizi tuu mpaka pale mkianza kujenga hizo barabara ndiyo mtatuthibitishia kuwa Kuna ukweli!
Lakini kwa Sasa tumewazoea kwa ulafi wenu,pesa zetu mnawahonga Malaya 😟😟,mnatafuna mbuzi,na kulipana maposho!!!CCM ndani ya hii nchi ni laana.
 
"Mtu anayetuma 1000 hadi 2000 anakatwa Tsh.10, anayetuma 20,000 hadi 30,000 anakatwa 960, Mil. 1 hadi Mil. 3 ni 9000 na Mil 3 na kuendelea ni 10,000, kwa anaetuma 100,000 hadi 200,000 anakatwa 2500, kama unaweza kutuma 10,000 kwanini usichangie shughuli za maendeleo?”....
Yaani mwenye kipato 10000 anachanga kama mwenye kipato 10m halafu mnaiita solidarity fund? Mshikamano gani huu wa kinyonyaji?
 
Badala ya kuvifuta vyeo vya kipuuzi kama vya wakuu wa mikoa na wilaya, kuondoa wabunge wa viti maalum na wale wa kuteuliwa! Kuondoa vyeo vya Ma Ras na Ma das, kupeleka mswada wa kupunguza posho nono wanazolipwa bungeni!...
Umeongea point tupu mkuu maana gharama zipo hapo kwenye uendeshaji wa serikali ambayo ni kubwa sn
 
Katika hizi nchi masikini takataka pamoja na vichaa ndiyo huwa viongozi.

Kwa nini nikatwe kodi kwenye income ambayo tayari nilishakatwa kodi?

Hela ambayo nataka nimtumie Mama yangu kule kijijini ni income ambayo tayari TRA walishachukua chao.Nawaambia tena,mtu mweusi ni Kima aliechangamka!🐒🐒🐒
 
Kwa nini katika hizi nchi masikini takataka pamoja na vichaa ndiyo wanakuwa viongozi?!

Kwa nini nikatwe kodi kwenye income ambayo tayari nilishakatwa kodi?Hela ambayo nataka nimtumie Mama yangu kule kijijini ni income ambayo tayari TRA walishachukua chao.Nawaambia tena,mtu mweusi ni Kima aliechangamka!🐒🐒🐒
Ndo maana hakuna justification yoyote ya kumtoza mfanyakazi PAYE kwenye mshahara wake wakati akija kununua bidhaa na kulipia huduma anakatwa VAT na sasa anaongezewa ungese mwingine wa solidarity fund, walishatuona mabwege mb.wa hawa.....
 
Back
Top Bottom