mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Hapa napo katika hii solidarity fund napo cag mwakani apapitie. Halafu wanapoanzisha haya mamvo wanakubaliana na na nani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo tumefika hapa kama Taifa."Mtu anayetuma 1000 hadi 2000 anakatwa Tsh.10, anayetuma 20,000 hadi 30,000 anakatwa 960, Mil. 1 hadi Mil. 3 ni 9000 na Mil 3 na kuendelea ni 10,000, kwa anaetuma 100,000 hadi 200,000 anakatwa 2500, kama unaweza kutuma 10,000 kwanini usichangie shughuli za maendeleo?”
"Mimi naunga mkono dira ya Rais ya kutaka maji yapatikane kila kijiji, sasa tunafanyaje? tukasema tuchangishane, hivi unaona tunaweza kupoteza maisha ya Mtoto sababu ya maji, kisa unalia unakatwa Tsh.5?, mbona milio ya simu tunaweka na unakatwa Tsh. 100?"———Mwigulu via Clouds360
"Kuna Shule zinakusanya watoto mpaka 1500 au 1000 na Shule haina maji wanaambiwa waende Shule na kidumu cha maji, sasa tunafanyaje ili maji yapatikane? ndio maana kuna uwepo wa kukatwa Tsh. tano kila unapotuma hela kwa ajili ya huu mfuko wa mshikamano"———Mwigulu via Clouds360
"Watu wanalalamika kuhusu hela za miamala, hii ni solidarity fund, tuna mambo ambayo tunakubaliana hayapaswi kuendelea mfano ubovu wa Barabara vijijini, kama Taifa tuongeze Tsh.100 katika mafuta ili kila fedha itakayoongezeka iende kuleta maendeleo"——Mwigulu Nchemba via Clouds360
"Kwenye chungu, ni lazima bajeti, fedha zitatoka wapi ni lazima tutoe kodi, mwaka huu tumeleta kodi ya miamala, ni vizuri sana mjue hili la kwenye miamala sio tu kodi, hili tunatunisha mfuko, ni solidarity fund, huu ni mfuko wa mshikamano wa Watanzania"
"Akaunti zilifungwa kipindi kile kwasababu ya masuala ya kikodi na Wafanyabiashara wanarudishiwa fedha zao kwasababu akaunti imelipa kodi au hesabu zake zilipigwa vibaya kwahiyo kuna fedha ambayo haikuwa kodi inarudishwa"
"Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Msumbiji mafuta yako bei juu kuliko sisi, ulishaona hizo Nchi waje kununua mafuta Tanzania?, nitoe rai Watanzania wawe Wazalendo kwasababu kwenye Nchi zote zinazotuzunguka Tanzania ndio Nchi inayouza mafuta bei ya chini"
Mie kinachonishosha ni kuona nguvu za kulazimisha viongozi wavae barakoa wakati kwa miaka 2 walikuwa hawavai pamoja na uwepo wa covid -19.Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kuiunganisha nchi kwa kutengeneza miundombinu mipya ya barabara katika maeneo yasiyofikika ambayo kwa asilimia kubwa yapo vijijini...
Hakukuwa na haja ya kuongeza hata 50 kwenye mafuta..ongezeko lolote kwenye mafuta linasababusha ongezeko la bei kwenye kila bidhaaAnaongelea sh 100 kana kwamba hiyo ndio Kodi pekee kwenye mafuta! Anajisahaulisha msururu wa karibia Kodi 20 kwenye mafuta hayohayo!.Apuuzwe
I hope mama anapita huku ayaone haya mawazo mbadala nje ya mawazo ya wasaidizi wakeKAMA NI KWELI KUNA NIA NJEMA YA KUONGEZA MAPATO:
1.Serikali punguzeni kodi ya kuagiza gari ili wengi waagize na mtapata kodi zaidi wengi wakinunua mafuta...
Barabara zenyewe zitazojengwa nafikiri nyingi ni za changarawe sasa hapo kwa sie wenye kidogo, ndo zenye upigaji kweli....maana ni kumwaga vifusi tu na kusambaza.Mie kinachonishosha ni kuona nguvu za kulazimisha viongozi wavae barakoa wakati kwa miaka 2 walikuwa hawavai pamoja na uwepo wa covid -19.
Wenye akili tushajua miezi mitatu tu baada ya kifo cha JPM tunasarandia pesa za wahisani.INAUMA SANA..
Aelezee pia litakavyo ongeza mfumuko wa beiSerikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendelea kuiunganisha nchi kwa kutengeneza miundombinu mipya ya barabara katika maeneo yasiyofikika ambayo kwa asilimia kubwa yapo vijijini...
Haithiri chochote? Unakijua unachoongea?Mimi sina shida na kodi ya mafuta ambapo hadi sasa miradi imetuzidia yaani,safi Sana...
Nini umeona kimekwama hadi sasa baada ya hiyo kodi?Haithiri chochote? Unakijua unachoongea?