Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Hamtaki kulipa kodi? Nyambaf zenu! Mnategemea hizo huduma mnazolilia zitoke wapi? yaani kuchangia 5000 tu ndiyo kelele zote hizo! Mlidekezwa sana na siasa za kijamaa za Nyerere. Samia nakushauri ongeza hizo kodi, asiyekubaliana na hili ahame nchi
 
Kuna siku nilisikia huyu mama anasema alisoma uchumi, mpaka unashangaa pamoja na taaluma yake hiyo ameshindwa kutambua kuwa kuongeza kodi ya dhuruma kwenye miamala ya simu ni kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Serikali na wachumi uchwara wanakaa wanaweka jumla yakodi tatu kwenye muamala mmoja wa simu hizi si dharau za waziwazi nakutuona mazuzu ,wanapandisha kwa makusudi bei ya mafuta kitu ambacho ni kichocheo namba moja cha ushughuli za kiuchumi nchini.

Jambo la kuchekesha zaidi nikaona hapa hakuna kiongozi nikupunguza kodi kwenye vitu ambavyo havina tija kwenye uchumi wa nchii, yaani mtu anapunguza kodi kwenye betting/gambling ,pombe halafu anapandisha tozo kwenye gharama ya mafuta.

Yaani mama katika vipaumbele vyako vyote kwenye shughuli za kiuchumi nikuchochea kamali na unywaji pombe, vingine vyoote umepiga chini. Watu wanasema mwigulu anakufanyia hujuma sio kweli vitu vidogo kama hivyo havihitaji mpaka usome macro economics yaani umepwaya kweli kweli.

Oky kodi mmeshaanza kuchukua jee zitasaidia vipi wananchii kama sio kuibia masikini, Mama ebu rejea bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ya mwaka 21/22 asilimia 80 ya bajeti yote ni matumizi binafsi asilima 20 ndio inapelekwa kwenye shughuli za maendelea.
Matumizi binafsi wanalipana posho mara mbili mbili, vikao visivyo na tija, wanakula bata huku wakiaacha raia kwenye janga la umasikini.

Uongozi mbovu,, muundo wa serikali mbovu, bunge bovu, katiba mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1855593
Jamani ni muda wa BREAKFAST, tukanywe halafu turudi hapa kuendelea KULALAMIKA🤣🤣
 
Umeandika mengi sana ndugu nikadhani mambo ya maana, kumbe unaandika history za miaka ya nyuma. mwalimu wako alikuwa na kazi ya ziada dada kwa kichwa hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kujua historia ya Dunia wewe ni mfu!!..funguka!

Sijui km umesoma ukaelewa.

Ok!! yanayo tokea somalia.Nigeria.kenya hapo karibu na kwenu ni historia???

Au najibizana na mlevi??? Aliyefundishwa na walevi wa kijiji??
 
Huwa napenda nibishane na mtu mwenye uwezo anaeweza kusoma nakuelewa hoja ndio maana umeona nimekujibu juu juu sista. Hoja nilioleta hukuielewa yaani mimi niko kulia wewe uko kushoto. Soo kuwa mpole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilisikia huyu mama anasema alisoma uchumi, mpaka unashangaa pamoja na taaluma yake hiyo ameshindwa kutambua kuwa kuongeza kodi ya dhuruma kwenye miamala ya simu ni kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.

Serikali na wachumi uchwara wanakaa wanaweka jumla yakodi tatu kwenye muamala mmoja wa simu hizi si dharau za waziwazi nakutuona mazuzu ,wanapandisha kwa makusudi bei ya mafuta kitu ambacho ni kichocheo namba moja cha ushughuli za kiuchumi nchini.

Jambo la kuchekesha zaidi nikaona hapa hakuna kiongozi nikupunguza kodi kwenye vitu ambavyo havina tija kwenye uchumi wa nchii, yaani mtu anapunguza kodi kwenye betting/gambling ,pombe halafu anapandisha tozo kwenye gharama ya mafuta.

Yaani mama katika vipaumbele vyako vyote kwenye shughuli za kiuchumi nikuchochea kamali na unywaji pombe, vingine vyoote umepiga chini. Watu wanasema mwigulu anakufanyia hujuma sio kweli vitu vidogo kama hivyo havihitaji mpaka usome macro economics yaani umepwaya kweli kweli.

Oky kodi mmeshaanza kuchukua jee zitasaidia vipi wananchii kama sio kuibia masikini, Mama ebu rejea bajeti ya ofisi ya waziri mkuu ya mwaka 21/22 asilimia 80 ya bajeti yote ni matumizi binafsi asilima 20 ndio inapelekwa kwenye shughuli za maendelea.
Matumizi binafsi wanalipana posho mara mbili mbili, vikao visivyo na tija, wanakula bata huku wakiaacha raia kwenye janga la umasikini.

Uongozi mbovu,, muundo wa serikali mbovu, bunge bovu, katiba mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1855593
Lipa KODI wewe acha kubwabwaja.
Unafikiri barabara zinajijenga kwa mate?
 
Wanaomsaidia ndo wanatala tumuone ameshindwa
 
Kama nchi tulipita kipindi kigumu sana. Biashara zilifungwa, watu walifilisiwa, kodi nyingi za haramu zilibambikwa kwa wafanyabiashara. Aliyejaribu kufungua mdomo wake kulalamikia hayo labda asijulikane. Vinginevyo angetekwa kisha ama akapotea kabisa au akabambikiwa kesi itakayomuweka mahabusu muda mrefu au angehujumiwa kwa namna yoyote

Inashangaza kuona Wabongo ni wasahaulifu kiasi hiki. Angalau sasa kuna japo kauhuru ka kulalamikia hayo hadharani na usiwe na hofu ya kupotezwa. Au labda wanaotoa maneno makli dhidi ya awamu ya sita ni wale wachache sanasana waliokua wafaidika wa utawala ule!

Kodi hizi za miamala ni mbaya lakini haiondoi ukweli kwamba awamu iliyopita ilikua ya kidhalimu sana. Lakini kutamani eti ile hali ya mambo ya awamu ya tano irudie tena kwa Watanzania ni roho mbaya na utovu wa shukrani kwa Mungu wetu. Angalau Mama na serikali yake hamkamati mtu kwa kupinga sheria mbaya.

Mimi naamini ni suala la muda tu kodi kandamizi zitafutwa kutokanana na usikivu wa awamu ya sita. Lakini kutamani kurudi tulipotoka HAPANA
Tulia ww kilaza....
uliporwa hela ww ama ulifungwa.....!?
unaongea ujinga
 
Huwa napenda nibishane na mtu mwenye uwezo anaeweza kusoma nakuelewa hoja ndio maana umeona nimekujibu juu juu sista. Hoja nilioleta hukuielewa yaani mimi niko kulia wewe uko kushoto. Soo kuwa mpole

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa mkali natisha wewe!!! Acha kabisa.
Kamwe Na hakika huwezi vumilia ukali wangu!! Ukibisha waulize Temeke Hospitals' staff.
 
Mitanzania mijinga,michawi imerogwa sana!!! Yenyewe kulaumu tuuuu!!! Wkt haifanyi chochote cha maana.japo si wote..

Wapo wastaarabu km kikwete families!! Mwinyi.Dr Manyonyi families nk.lkn wengine km lileta mada ni roho ya kutu tupu.

Fanya kazi kufa na kupona lipa kodi ya sirikali..sirikalu inakulinda ili ufanye kazi salama hkn lele mama hapo!! Tatizo lenu...

Wivu wa kitoto huu!! sababu mama anakula air line to Dodoma baasi ni.
chuki.
Visununu.
choyo.
vinyongo visivyoisha!
Dhiki binafsi.
ulafi.
umimi .
u haleluya bwana kuba za kinafiki.

Vinawasumbua sana ngozi nyeusi ...ndo maana mliuza ndg zenu utumwani bila huruma. Kwa malipo sawa na bure ya shanga na pombe .kuumbe hamjaisha humu africa...

Mpaka leo US Niggas hawa wapendi wanawaita majina mabaya "Nigga from de bush" hawataki kurudi.na km ni hivi...

Diaspora haturudi kamwe!! Ile dhambi ya kuwauza ndg zenu utumwani tena mnacheka wao wakilia itawatafuna mpaka mlie poo!! Nasema waafrica! Wa bongo...

Hamtakuwa na amani ya moyo wa kutulia... km wa Mleta mada, huyu ni mfano mzuri wa kuhaha na maisha.

Mpaka mkubaliane na mlio wauza utumwani!! Muwaombe msamaha wa dhati ya moyo. Mpate mtu makini km Mimi awaongoze muombe msamaha huo.

Bila hivo kila Rais/kiongozi mtaona Anakasoro tu hafai.kuwaongoza. Nyie mnaona mapungufu tuuuu!!angalieni mazuri pia kwani huyo Mama Samia ni Malaika??? Hakika

Mtauana kila uchao na kushikana uchawi km hawa wenzenu wamesha anza kitambo na wanaendelea kuchinjana bila kujali...

Somali...Hawatwaliki wamejikataa kabisa wanajiona waarabu.arabs hawawataki dhambi inawatafuna

Nigeria ..bado ngoma mbichi viongozi wao wanajua mchezo mzima.

central africa. .. Ngoma mbichi ndo ilikuwa njia kuu.

Kenya...viongozi wanajua kinacho endelea nyuma ya pazia.

Uganda...wsliwaswaga watumwa wasonge mbele.

Ethiopia...walinunua pia na kuuza.

Liberia...Dooo hapa ndo kabisaaa mamilioni ya Tani za damu ziko ardhini.

cameroon...km liberia tu.

siera leon...na hii imo

south africa..walikombolewa kwa kafara ya damu ya ndg zao!! Waliokombolewa Wakawaua tena wakombozi dhambi hii inawatafuna mpaka dakika hii napo ongea hapa!!

Na sasa msumbiji nk.
Kwani Tanzania mnadhani nyie ni nani msiwe km hao majirani zenu???

Chuki zinaanzaga hivihivi km ya mleta mada...kazi yako Toa ushauri siyo km unavo sema.

Mpaka inaonekana AU wameshindwa kufanya kazi bora ife tu.

Km Rais ana chongo lkn wengi wamempa bila kuiba!! ridhika! wewe mnyime kura yako na ya mkeo km ukiweza mshawishi. Watu km nyie familia zenu ni shida tu!!!

Kwendaaaraaaaa!!mfyuxcvxccbn.
Manyoko zako na wote waliokutuma
 
Tulia ww kilaza....
uliporwa hela ww ama ulifingwa.....
unaongea ujinga
Rione rinavoropoka utadhani jiwe!! Yaani sijui limmewaroga rile jamaaa!!

Ok!! lilishakufa kitambo!!but hamkujua..

Badala yake mliongozwa na msukule ule!! Ndo maana halikuwa na utu.bali ushetani flani hivi.
Nyie ni vishetani vidogo pia
 
Umeandika mengi sana ndugu nikadhani mambo ya maana, kumbe unaandika history za miaka ya nyuma. mwalimu wako alikuwa na kazi ya ziada dada kwa kichwa hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasoma shule wewe?? Au ndo matokeo ya shuke za kata.....

kwani Historia ni mambo ya mbele??? au umekusudia kuropoka tuu??
 
Huwa napenda nibishane na mtu mwenye uwezo anaeweza kusoma nakuelewa hoja ndio maana umeona nimekujibu juu juu sista. Hoja nilioleta hukuielewa yaani mimi niko kulia wewe uko kushoto. Soo kuwa mpole

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbeee!! Unabishana??? Yaani ubishi???? Pyutuuuu...

Mie naelimisha wasomaji! Tena buuure!!
 
Rione rinavoropoka utadhani jiwe!! Yaani sijui limmewaroga rile jamaaa!!

Ok!! lilishakufa kitambo!!but hamkujua..

Badala yake mliongozwa na msukule ule!! Ndo maana halikuwa na utu.bali ushetani flani hivi.
Nyie ni vishetani vidogo pia
Kichapo unakipata sshv ken.ge ww
 
Back
Top Bottom