Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhhTumeshaonekana ma mbuzi.
Ni lini dawa zilipatikana bureLeo unaongea hiv tukiwa wazima utakuja kuongea tena hakuna ktu cha bure toa ela upate dawa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
tumekuwa mambuzi toka uhuru. its just sasa hivi wanasiasa wamegundua wanaweza kwenda extra miles.. wakafanya madudu yao bila wananchi kusema loloteTumeshaonekana ma mbuzi.
Aseme nn hali lina baraka zakeKwani yeye Samia anasemaje kuhusu hili?
Mkuu hii unanikumbusha mwamba mzee wa fiksi na saundi Kinjeketile Ngwale alivyowaingiza wadau chaka eti wakisema maji risasi zinayeyuka.Wakipiga risasi semeni maji
Mkifa sandeni semeni basi
Mwigulu ni janga la Taifa.. anategemea ushirikina tu kupata vyeo. Pumba tupu!!Mwigulu atupishe, hana ubunifu wowote. Amekuwa recycled kwenye wizara kadhaa lakini kote ni pumba tu.
Ifike kipindi tukubali kuwa jamaa hana akili nyingi.
Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa kiwango kizuri. Wao kwa uelewa wao wameaminishwa kwamba miamala ya kibenki imepungua kwakuwa tozo za benki zilikuwa kubwa, na njia sahihi wakaona ni bora kupunguza tozo hizo za benki.
Hatua ya pili wakaona soko la miamala ya kimtandao limeimarika ambapo uchumi wa Tanzania kwa sehemu kubwa umeshikiliwa kwenye (Mpesa, Tigopesa, Halopesa, Airtel Money nk) hivyo ili kurudisha uhai wa bank wakaona bora wapandishe tozo huku mara mbili ya tozo za awali. Wakiamini watu watarudi kwenye bank. Hili ni kosa kubwa wamelifanya, hawakutaka kuumiza vichwa vya kujiridhisha ni uchumi wa aina gani hasa uko kwenye hii miamala ya kimtandao. Utafiti usio rasmi ni kuwa miamala ya simu inatumiwa na kundi kubwa la masikini katika nchi ambao vipato vyao ni chini ya mstari wa umasikini unaotambuliwa na Umoja wa Mataifa under poverty line wanaoishi chini ya dola 5.50 kwa siku.
Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa kwa miaka mingi Mabenki ya Tanzania ni adui wa masikini na kwa Tanzania masikini ni 91.80% ndio wanaishi chini 5.50 na ndio wanamiliki uchumi na miamala ya simu. Leo Bibi yangu Mgulwa kule kijijini Maduma hawezi kwenda bank wala hana uwezi wa kumiliki account ya benki ili nimtumie 10,000 ya sukari badala yake nitalazimika kugonga kokoto huku Mbutu ili nipate 15,000 nimtumie Bibi yangu kwa Tigo Pesa.
Kwa miaka 15 hivi huduma hii ya miama ya kimtandao imekuwa mkombozi wa kundi hili la masikini. Leo unawafungia huduma hii ili waende bank ambazo nyingi zimefunga matawi yake kutokana na utawala dharimu uliopita na sasa Benki hizo ziko Dar tu na huduma za kibenki zenyewe ni mbovu kupita maelezo. Unataraji ukuze uchumi au uangushe zaidi uchumi? Njia bora ilitakiwa Mabenki hayo yaingie kwenye ushindani na mitandao ya simu kwakubuni njia anuwai za kimasoko na si kutegemea mkono wa serikali iwabebe, biashara ni ushindani, serikali itafute vyanzo vingine vya mapato katika madini, misitu, uvuvi, bandari nk... Badala ya kuendelea kumnyonya huyu masikini wa chini.
View attachment 1854541View attachment 1854543View attachment 1854544View attachment 1854545
Kwa hiyo hoja yako ni ipi maana hueleweki.Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa kiwango kizuri. Wao kwa uelewa wao wameaminishwa kwamba miamala ya kibenki imepungua kwakuwa tozo za benki zilikuwa kubwa, na njia sahihi wakaona ni bora kupunguza tozo hizo za benki.
Hatua ya pili wakaona soko la miamala ya kimtandao limeimarika ambapo uchumi wa Tanzania kwa sehemu kubwa umeshikiliwa kwenye (Mpesa, Tigopesa, Halopesa, Airtel Money nk) hivyo ili kurudisha uhai wa bank wakaona bora wapandishe tozo huku mara mbili ya tozo za awali. Wakiamini watu watarudi kwenye bank. Hili ni kosa kubwa wamelifanya, hawakutaka kuumiza vichwa vya kujiridhisha ni uchumi wa aina gani hasa uko kwenye hii miamala ya kimtandao. Utafiti usio rasmi ni kuwa miamala ya simu inatumiwa na kundi kubwa la masikini katika nchi ambao vipato vyao ni chini ya mstari wa umasikini unaotambuliwa na Umoja wa Mataifa under poverty line wanaoishi chini ya dola 5.50 kwa siku.
Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa kwa miaka mingi Mabenki ya Tanzania ni adui wa masikini na kwa Tanzania masikini ni 91.80% ndio wanaishi chini 5.50 na ndio wanamiliki uchumi na miamala ya simu. Leo Bibi yangu Mgulwa kule kijijini Maduma hawezi kwenda bank wala hana uwezi wa kumiliki account ya benki ili nimtumie 10,000 ya sukari badala yake nitalazimika kugonga kokoto huku Mbutu ili nipate 15,000 nimtumie Bibi yangu kwa Tigo Pesa.
Kwa miaka 15 hivi huduma hii ya miama ya kimtandao imekuwa mkombozi wa kundi hili la masikini. Leo unawafungia huduma hii ili waende bank ambazo nyingi zimefunga matawi yake kutokana na utawala dharimu uliopita na sasa Benki hizo ziko Dar tu na huduma za kibenki zenyewe ni mbovu kupita maelezo. Unataraji ukuze uchumi au uangushe zaidi uchumi? Njia bora ilitakiwa Mabenki hayo yaingie kwenye ushindani na mitandao ya simu kwakubuni njia anuwai za kimasoko na si kutegemea mkono wa serikali iwabebe, biashara ni ushindani, serikali itafute vyanzo vingine vya mapato katika madini, misitu, uvuvi, bandari nk... Badala ya kuendelea kumnyonya huyu masikini wa chini.
View attachment 1854541View attachment 1854543View attachment 1854544View attachment 1854545
Kijijini kwako kumenufaika Vipi na hizi kodi, mbona hakuna lami, maji na hata umeme tu, acha unafiki!Unachekesha sana!
Swali la kujiuliza kwani hayo makato yanaenda mfukoni mwa Mwigulu au yanaenda kusaidia ndugu zako walioko kijijini na mjini?
Waswahili wanasema nguo ya kuazima haifichi makalio. Maendeleo ya Watanzania yalikuwa yanategemea zaidi misaaada kutoka ktk kodi za mataifa mengine, sasa leo hii watanzania wanazoweshwa kujitegemea kwa kuchangia maendeleo yao wenyewe ww unaleta ngojera?
Kwa hiyo unataka maendeleo ya Watanzania yachangiwe na watu wa nchi za Ulaya? Ahhh! kweli ulizoea kitonga, sasa ndio mjue kwa nn wazungu wakali na pesa zao wanapo zitoa kama mikopo kwa mataifa ya kiafrika, ni kwa sababu Raia wao wanjinyima kutoka ktk makato ya kodi.
Sasa leo hii kodi kidogo tu tunaanza kulia, mbona nchi ikiwa inakopa kulimbikiza madeni hampigi kelele kuwa nchi yetu inakopa sana?!
safari hii Watanzania tumeamua kuchangia maendeleo yetu sisi wenyewe, Chadema kama hawataki wahame nchi.
Alieshiba hamkumbuki mwenye njaa[emoji3525]Unachekesha sana!

Subirini dawa iwaingie.Sasahivi tuna serikali ya ujanja ujanja
Kodi zingekuwa zinatumika ipasavyo hakuna shida
Ila kwa matumizi haya ya Dar-Dodoma kila siku kujaza mafuta mawaziri kukimbizana tu hapana
Mimi pesa yangu yeyote kama unanidai kama hakuna account bank sikulipi pia na wewe usinilipe kama hauwezi kuniletea au kulipia bank!!
Neno moja "Financial inclusion". Kuna projects nyingi Sana zinafanywa na mashirika ya kifedha ya ndani na ya kimataifa kuhusu financial inclusion yaan kuleta awareness watu wengi hasa wa kipato Cha chini ambao hawafikiwi na Banks kuweza kujumuishwa kwenye sekta ya fedha..lakini tozo hizo zinarudisha nyuma badala ya kupush ..Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa kiwango kizuri. Wao kwa uelewa wao wameaminishwa kwamba miamala ya kibenki imepungua kwakuwa tozo za benki zilikuwa kubwa, na njia sahihi wakaona ni bora kupunguza tozo hizo za benki.