Waziri Mwigulu na wachumi wenzako mnalihujumu taifa, rudini mezani

Unaota wewe,soma hiyo 👇.4.5T zinamwagwa mtaani kuchochea uchumi

Kwani kulikuwa na lazima ya kubadili Kila kitu muonekane mnaenda kinyume na Mwendazake? Mmeyafukunyua Sasa, yetu macho na bado la corona ndo litawacost zaidi.
Dua la kuku,hizo kelele zenu ni za wiki 2 kwisha kama mafuta umeona nini kimebadilika?

Saizi serikali inachanja mbugha na maendeleo

Dua la kuku,hizo kelele zenu ni za wiki 2 kwisha kama mafuta umeona nini kimebadilika?

Saizi serikali inachanja mbugha na maendeleo

View attachment 1855528

View attachment 1855529

View attachment 1855530

View attachment 1855531
Nyie ndo wapotoshaji wakubwa mmemeza theory tu,hamjui uhalisia ni kitu kingine.Hiyo hell hata ukiiachia kwenye mzunguko itamsaidia Nini mwananchi anayesubiri mvua inyeshe alime avune asubiri mwaka mwingine,na ndo wananchi waliowengi.
Huku Bei ya bedhaa dukani imepaa juu,Bei ya mbolea juu,nauli juu,gharama za mitandao juu.Kila Kona watu wanalaani wewe unakuja na porojo.
Hovyo kabisa.
 
Wewe ndio mjinga. Kila mtu akibakiwa na vihela vyake kidogo havina tija kwa Taifa kama vikikusanywa kwa pamoja ndio maana utaona zitajenga barabara,zitajenga shule,zitaleta,maji na hospital..Hiyo sio msaada?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya mchumi hodari unapunguza Kodi kwenye kubeti,pombe vyitu luxury,unaongeza Kodi kwenye mafuta kitu ambacho ni Cha lazima,Bibi yako kijijini anahitaji mafuta ya taa,bodaboda nk.labda Kama umekulia Masaki,ila Kama ni huyu mchunga ng'ombe mwenzangu asingefanya upuuzi huu.
 
Kwenye pombe ni mbinu ya kiuchumi kwamba mtakunywa Sana na gvt itapata pesa zaidi yaani wanawarudishia furaha.

Kwenye miamala na mafuta ni chanjo cha uhakika cha pesa ambazo zitatumika kuboresha maisha ya bibi zenu Vijijini.

Hilo la betting silijui but nalo Lina uhusiano na pombe kwamba ni Eneo la kutaka mbet zaidi Ili wapate pesa sasa sijui wamekadiria kiasi gani watapata hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…