Wavaa madera wa bongo na doa jeusi usoni akilini sifuri!Wenzenu uarabuni wanamiliki visima vya mafuta…hata wakilala usiku noti zinaingia..wanaajira watu wanajenga nchi yao..wanakuwa na mavitu vyao
Haya nyie wenzetu mnaojiita muslim wa Tanzania msioendekeza mavitu mnaotaka muishi kifalme wakati mmeuza rasilimali zenu…mtakula mawe!
Hao wanaoamini kila kitu kutoka kwa mama ushungi! Yule yupo tu anakopa kopa ilimradi tu hana road map ya shughuli zake!Tumia akili makusanyo yameshuka ndiyo maana mama anajificha nyuma ya mikopo mikubwa,sasa kama TRA inakusanya zaidi ya magufuli mikopo mingi ya nini na tozo kubuniwa sisi tupo ndani sana tunajua kinacho endelea ,fedha za kigeni tulizo nazo kwa sasa ni pesa za mikopo ndiyo zimetunusulu la sivyo ingekuwa hatari ,watu kama nyinyi hamjui hesabu ni vigumu kujua kasi ya ukopaji ya mama sasa hivi tuna fikisa til 2.5 kwa mwezi kama tutapatiwa huo mkopo
Unaweza kukuta ulipo ni kiongozi wa familia!Hakuna aliekopa 15trln ndani ya mwaka mmoja,
Tafuteni taarifa kwanza kabla yakupost humu,ndio maana kwakua sasa ni wakati wa likizo huwa nahisi watoto mko nyumbani.
Magufuli kwakukusaidia mkapa
Ni kweli hujaelewa,huyu mtoto amemaanisha kwamba mama Samia ameshakopa zaidi ya trln15 kwa mwezi.
Kweli kuna shida mahali:Ndio mwisho wa maono yetu ulipofikia
Mikopo
Misaada
Watakwambia mbona magu alikopa trillion 29 hamkusema kitu!
Mi naisubiria ripoti ya CAG tu ambayo itamkaanga vizuri Hangaya[emoji28] naomba muendelee na sifa hizi hizi hata baada ya ripoti kusomwa!
Hebu pendekeza tufanyeje ili tujenge miundo mbinu na kuendesha serikali...maana tozo hamtakiNdio mwisho wa maono yetu ulipofikia
Mikopo
Misaada
Bikira Maria alikua anavaa maderaWavaa madera wa bongo na doa jeusi usoni akilini sifuri!
Kuhusu barrick nenda kaburini chato kaulize,kuhusu kulipa ni lazima,hyo sgr na jnhep hela itatoka wapi na miradi ushaanza!?Kweli kuna shida mahali:
- hatujasikia lolote kuhusu mgao wa serikali kwenye madini, au fedha ambazo serikali ilikuwa imeahidiwa na Barrick
- Hajujasikia lolote kuhusu miradi mipya ya Helium gas, na LNG
- Tunachosikia sasa ni juhudi za kutafuta mikopo mipya na kauli za serikali za kuhalalisha mikopo
Alikuwa hana doa jeusi usoni!Bikira Maria alikua anavaa madera
Alikua anavaa Dera,mwanae alikua anaswali kwa kusujudu,unadhani mama alikua anaswali kwa kupiga magoti!!..yaani tofauti na mwanae!!?Alikuwa hana doa jeusi usoni!
Jibu unalo mwenyewe.Nyerere pamoja na kuiongoza nchi yenye raia milion 9 tu tena akiwa ameachiwa na viwanda na wakoloni,bado raia waliishi kwa kuvaa magunia.Mwinyi alipochukua nchi kwa miaka 10 tu,tukapata kina Kishimba,kina Bhakharesa na wengine wengi tu.Raia wakaweza kujenga makazi,kufungua viwanda vidogovidoka kama mashine za kukoboa na kusaga,maduka n.k.Wenzenu uarabuni wanamiliki visima vya mafuta…hata wakilala usiku noti zinaingia..wanaajira watu wanajenga nchi yao..wanakuwa na mavitu vyao
Haya nyie wenzetu mnaojiita muslim wa Tanzania msioendekeza mavitu mnaotaka muishi kifalme wakati mmeuza rasilimali zenu…mtakula mawe!
Muulize Marekani ana jibu lako.Mtoto amezaliwa, amekua, hadi amestaafu ktk umri wa miaka 60 bado kukopa!
Jibu unalo mwenyewe.Nyerere pamoja na kuiongoza nchi yenye raia milion 9 tu tena akiwa ameachiwa na viwanda na wakoloni,bado raia waliishi kwa kuvaa magunia.Mwinyi alipochukua nchi kwa miaka 10 tu,tukapata kina Kishimba,kina Bhakharesa na wengine wengi tu.Raia wakaweza kujenga makazi,kufungua viwanda vidogovidoka kama mashine za kukoboa na kusaga,maduka n.k.
Mkapa akaja na kuudorolesha uchumi wa wananchi kwa namna alivyoweza mpaka mtaani pakawa pagumu tena.Na ni yeye Mkapa ndiye aliyeanzisha ufisadi serikalini.Yeye mwenyewe akijimilikisha mali za umma kikiwemo kiwanda cha sukari Mtibwa.
Sasa angalia utawala wa Kikwete ulivyofungua uchumi wa raia na angalia utawala Magu ulivyozorotesha uchumi wa raia mtaani.
Usifikiri waziri Ummy alikurupuka tu kuruhusu watoto waende shule hata na nguo za nyumbani ukafikiri ni amepagawa.
Shule za kata zilijengwa nchi nzima,nini kilimshinda Magu kuongeza hayo madarasa tu na vyoo?.Kwahio kiongozi wa kiislamu alipatia pesa raia lakini watoto hawana matundu ya vyoo na wanasomea chini ya miti….mjini wanakaa kwenye madawati lakini umeme hawana…
Mgonjwa anaumwa anakufa kwa kushindwa kufanyiwa operation kisa umeme hamna, ama kachelewa kufikishwa hospitalini barabara mbovu ikiwa mjini watasema foleni… mashine ya kusaga unayo lakini unasaga mara moja kwa wiki tena usiku kisa mgao wa umeme…
Pesa unayo mkononi ila haina maana yoyote kwako…wewe unaona sawa tu..
Rea unajua ni mradi ulioasisiwa na Rais yupi?.Kwahio kiongozi wa kiislamu alipatia pesa raia lakini watoto hawana matundu ya vyoo na wanasomea chini ya miti….mjini wanakaa kwenye madawati lakini umeme hawana…
Mgonjwa anaumwa anakufa kwa kushindwa kufanyiwa operation kisa umeme hamna, ama kachelewa kufikishwa hospitalini barabara mbovu ikiwa mjini watasema foleni… mashine ya kusaga unayo lakini unasaga mara moja kwa wiki tena usiku kisa mgao wa umeme…
Pesa unayo mkononi ila haina maana yoyote kwako…wewe unaona sawa tu..
Kitu gani ni cha maana cha kuelewa ulichopostMkuu siyo kila kitu ni kwa kila mtu, kama hujaelewa jua siyo level yako. Level zingine ni kwa IQ kubwa na siyo kama yako.