Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

Wenzenu uarabuni wanamiliki visima vya mafuta…hata wakilala usiku noti zinaingia..wanaajira watu wanajenga nchi yao..wanakuwa na mavitu vyao

Haya nyie wenzetu mnaojiita muslim wa Tanzania msioendekeza mavitu mnaotaka muishi kifalme wakati mmeuza rasilimali zenu…mtakula mawe!
Wavaa madera wa bongo na doa jeusi usoni akilini sifuri!
 
Tumia akili makusanyo yameshuka ndiyo maana mama anajificha nyuma ya mikopo mikubwa,sasa kama TRA inakusanya zaidi ya magufuli mikopo mingi ya nini na tozo kubuniwa sisi tupo ndani sana tunajua kinacho endelea ,fedha za kigeni tulizo nazo kwa sasa ni pesa za mikopo ndiyo zimetunusulu la sivyo ingekuwa hatari ,watu kama nyinyi hamjui hesabu ni vigumu kujua kasi ya ukopaji ya mama sasa hivi tuna fikisa til 2.5 kwa mwezi kama tutapatiwa huo mkopo
Hao wanaoamini kila kitu kutoka kwa mama ushungi! Yule yupo tu anakopa kopa ilimradi tu hana road map ya shughuli zake!
 
Hakuna aliekopa 15trln ndani ya mwaka mmoja,
Tafuteni taarifa kwanza kabla yakupost humu,ndio maana kwakua sasa ni wakati wa likizo huwa nahisi watoto mko nyumbani.

Magufuli kwakukusaidia mkapa

Ni kweli hujaelewa,huyu mtoto amemaanisha kwamba mama Samia ameshakopa zaidi ya trln15 kwa mwezi.
Unaweza kukuta ulipo ni kiongozi wa familia!
 
Ndio mwisho wa maono yetu ulipofikia
Mikopo
Misaada
Kweli kuna shida mahali:
  • hatujasikia lolote kuhusu mgao wa serikali kwenye madini, au fedha ambazo serikali ilikuwa imeahidiwa na Barrick
  • Hajujasikia lolote kuhusu miradi mipya ya Helium gas, na LNG
  • Tunachosikia sasa ni juhudi za kutafuta mikopo mipya na kauli za serikali za kuhalalisha mikopo
 
Watakwambia mbona magu alikopa trillion 29 hamkusema kitu!

Mi naisubiria ripoti ya CAG tu ambayo itamkaanga vizuri Hangaya[emoji28] naomba muendelee na sifa hizi hizi hata baada ya ripoti kusomwa!

Ripoti watapikaa mbona
 
Kweli kuna shida mahali:
  • hatujasikia lolote kuhusu mgao wa serikali kwenye madini, au fedha ambazo serikali ilikuwa imeahidiwa na Barrick
  • Hajujasikia lolote kuhusu miradi mipya ya Helium gas, na LNG
  • Tunachosikia sasa ni juhudi za kutafuta mikopo mipya na kauli za serikali za kuhalalisha mikopo
Kuhusu barrick nenda kaburini chato kaulize,kuhusu kulipa ni lazima,hyo sgr na jnhep hela itatoka wapi na miradi ushaanza!?
 
Wenzenu uarabuni wanamiliki visima vya mafuta…hata wakilala usiku noti zinaingia..wanaajira watu wanajenga nchi yao..wanakuwa na mavitu vyao

Haya nyie wenzetu mnaojiita muslim wa Tanzania msioendekeza mavitu mnaotaka muishi kifalme wakati mmeuza rasilimali zenu…mtakula mawe!
Jibu unalo mwenyewe.Nyerere pamoja na kuiongoza nchi yenye raia milion 9 tu tena akiwa ameachiwa na viwanda na wakoloni,bado raia waliishi kwa kuvaa magunia.Mwinyi alipochukua nchi kwa miaka 10 tu,tukapata kina Kishimba,kina Bhakharesa na wengine wengi tu.Raia wakaweza kujenga makazi,kufungua viwanda vidogovidoka kama mashine za kukoboa na kusaga,maduka n.k.
Mkapa akaja na kuudorolesha uchumi wa wananchi kwa namna alivyoweza mpaka mtaani pakawa pagumu tena.Na ni yeye Mkapa ndiye aliyeanzisha ufisadi serikalini.Yeye mwenyewe akijimilikisha mali za umma kikiwemo kiwanda cha sukari Mtibwa.
Sasa angalia utawala wa Kikwete ulivyofungua uchumi wa raia na angalia utawala Magu ulivyozorotesha uchumi wa raia mtaani.
Usifikiri waziri Ummy alikurupuka tu kuruhusu watoto waende shule hata na nguo za nyumbani ukafikiri ni amepagawa.
 
Kwahio kiongozi wa kiislamu alipatia pesa raia lakini watoto hawana matundu ya vyoo na wanasomea chini ya miti….mjini wanakaa kwenye madawati lakini umeme hawana…

Mgonjwa anaumwa anakufa kwa kushindwa kufanyiwa operation kisa umeme hamna, ama kachelewa kufikishwa hospitalini barabara mbovu ikiwa mjini watasema foleni… mashine ya kusaga unayo lakini unasaga mara moja kwa wiki tena usiku kisa mgao wa umeme…

Pesa unayo mkononi ila haina maana yoyote kwako…wewe unaona sawa tu..
 
Mheshimiwa Sana,mchanganuo wa dola 3billion, kiasi gani Ni mkopo wa riba nafuu na kiasi gani ni msaada,wananchi tuna haki ya kufahamu,
Mwisho wa siku hilo deni linagawiwa kwa kila mwananchi.
 
Kwahio kiongozi wa kiislamu alipatia pesa raia lakini watoto hawana matundu ya vyoo na wanasomea chini ya miti….mjini wanakaa kwenye madawati lakini umeme hawana…

Mgonjwa anaumwa anakufa kwa kushindwa kufanyiwa operation kisa umeme hamna, ama kachelewa kufikishwa hospitalini barabara mbovu ikiwa mjini watasema foleni… mashine ya kusaga unayo lakini unasaga mara moja kwa wiki tena usiku kisa mgao wa umeme…

Pesa unayo mkononi ila haina maana yoyote kwako…wewe unaona sawa tu..
Shule za kata zilijengwa nchi nzima,nini kilimshinda Magu kuongeza hayo madarasa tu na vyoo?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio kiongozi wa kiislamu alipatia pesa raia lakini watoto hawana matundu ya vyoo na wanasomea chini ya miti….mjini wanakaa kwenye madawati lakini umeme hawana…

Mgonjwa anaumwa anakufa kwa kushindwa kufanyiwa operation kisa umeme hamna, ama kachelewa kufikishwa hospitalini barabara mbovu ikiwa mjini watasema foleni… mashine ya kusaga unayo lakini unasaga mara moja kwa wiki tena usiku kisa mgao wa umeme…

Pesa unayo mkononi ila haina maana yoyote kwako…wewe unaona sawa tu..
Rea unajua ni mradi ulioasisiwa na Rais yupi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom