Kelvin X
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,940
- 2,401
Zile pesa zilikua za covid relief fund na hazina riba, sasa tr 1 utajenga reli kilometa ngapi alafu utakua umemsaidia vipi mwananchi kuondokana na athari za covid? Bwawa la umeme umesha ambia malipo yalisha kamilika. Watanzania daaIssue ni unakopa kufanya nini???????? Si unakopa kununua barakoa au kujenga madarasa bali unakopa kumalizia bwawa la umeme au SGR ili baadaye unachokifanya kiweze kuzalisha. Madarasa unatumia kodi au tozo au kama hazitoshi unatengeneza temporary Shelters watoto wanasoma wakati ukitafuta pesa ya kujenga madarsa. Kwanini hamuelewi ndugu zangu!!!!!!