chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Hii mikopo mbona imekua mingi halafu kiholela? Ndugai alikua sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tozo zinabust madarasa lakini kasi ya ukopaji inajenga madarasa pia 😁Speaker anaposhangaa ndio hapo na sisi huwa tunamshangaa yeye !! Kwani yeye miaka yote ile watu wanakopa yeye alikuwa wapi ?? Double standard haifai mzee !!
Uchumi wa Kati tulifika toka 2015,,kilichokuwa kinasuniliwa ni kipindi cha matazamio tuu Ili kuitangaza rasmi,so hakuna cha awamu ya tano..Awamu ya 5 iliua uchumi gani? Si ndo tulishuhudia kufikia uchumi wa kati!!
Cha ajabu hujui hata maana ya investment in Humana capital,umekariri madaraja na reli tuu eti ndio uwekezaji.Hii ni sawa na kuambiwa dadako ameshatembea na wanaume 6 hapa mtaani we unatuma madada wengine waliotembea na zaidi ya wanaume 6 😅😅😅 endelea kulinganisha ujinga. Wenzio wanakopa kwenye vitu vinavyoingiza hela kama reli ulosema ya east afrca wewe unakopa kujenga shule za elimu bure.
Wakati magufuli anakopa ndugai ama wewe ulishawahi kuinua mdomo wako kusema lolote au ndio kunya anye kuku akinya bata kaharisha?
Hilo Pato na makusanyo labda vimeshuka kwenye kinyeo chako.Mama anataka kufikisha Til 2.5 kwa mwezi
Very stupid pato la taifa limeshuka makusanyo yameshuka ndiyo sababu anategemea mikopo hadi jana makusanyo ya mwezi yamepungua na kuwa 46% tukifika mwezi wa 8 mwaka huu makusanyo ya mwezi yatakuwa 30% tu
Tozo zinabust madarasa lakini kasi ya ukopaji inajenga madarasa pia 😁Speaker anaposhangaa ndio hapo na sisi huwa tunamshangaa yeye !! Kwani yeye miaka yote ile watu wanakopa yeye alikuwa wapi ?? Double standard haifai mzee !!
Kusema ukweli investment in HUMANA siijui. Lakini kinachowakosti ni ulambaji wa miguu na uchawa.Cha ajabu hujui hata maana ya investment in Humana capital,umekariri madaraja na reli tuu eti ndio uwekezaji.
Mwisho kwa ujinga wenu unaotokana na ufinyu wa akili mlizonazo mumekuwa mkipinga serikali Kukopa kwa ajili miundombinu.Rais alisema atakopa kwa ajili ya miundombinu kama kawaida mkawa mnapinga yaani hamuelewi mnachotaka.
Kina mcost nani na kivipi? Kama hujui tulia.Tozo zinabust madarasa lakini kasi ya ukopaji inajenga madarasa pia 😁
Kusema ukweli investment in HUMANA siijui. Lakini kinachowakosti ni ulambaji wa miguu na uchawa.
Makolokolo meengi eti ajira kila siku. 😅😅 huna jipya tofauti na walamba miguu ya watawala.Hilo Pato na makusanyo labda vimeshuka kwenye kinyeo chako.
Tuna miradi mingi tunafanya ikiwemo iliyomshimda Mwendazake,sekta zote unazozijua wewe mambo yanaenda,imagine bajeti ya kila wizara muhimu iliongezeka mara mbili,ajira kila siku nk
Utaota Sana ndoto za kuwanga ila hakuna pa kusemea utapata.
View attachment 2078222
View attachment 2078223
View attachment 2078225
View attachment 2078226
View attachment 2078227
View attachment 2078228
View attachment 2078229
View attachment 2078230
Na utawafundisha wewe kila darasa 😅😅 huna unachojua ni uchawa tu. Unafungua kiwanda huna man power? Trh 17 ni kesho tu, hayo madarasa mapya 1000+ ataingia mwalimu nani?Kina mcost nani na kivipi? Kama hujui tulia.
Pili kasi ya ukopaji ndio nini? Ndio hivyo sasa mwaka huu hakuna kuanza form 1 kwa mafungu wala kukaa chini,madarasa ya kutosha na Yako full equipment na furnitures
Sasa stress zako peleka kwa Mkeo,huyo ndio SSH sasa.Nikilamba miguu ya watawala wewe unawashwa wapi nikukune?Makolokolo meengi eti ajira kila siku. 😅😅 huna jipya tofauti na walamba miguu ya watawala.
Ulambaji miguu kwa watawala mnauficha ukweli na hii imetukost kila awamu. Baya nalo akilifanya mkuu hawakosekani chawa wa kupraise 😁Sasa stress zako peleka kwa Mkeo,huyo ndio SSH sasa.Nikilamba miguu ya watawala wewe unawashwa wapi nikukune?
Ukweli uweke wewe,Samia kawapa uhuru wa kuropoka.Ulambaji miguu kwa watawala mnauficha ukweli na hii imetukost kila awamu. Baya nalo akilifanya mkuu hawakosekani chawa wa kupraise 😁
Ungekuwepo uhuru wa kuropoka mngekuja na ngonjera kumsuta ndugai hadi kujiuzulu? Mbowe angekuwa anasota rumande na kupandshwa magari ya magereza kila siku? Hana uhuru ni porojo tuUkweli uweke wewe,Samia kawapa uhuru wa kuropoka.
Kumbe mpuuzi kama wenzako. ByeNadhani raisi alikua na nia nzuri kuchukua mkopo ili watoto wetu wapate elimu tusiwe na watu wenye mawazo kama yako
Ya ccm waachie ccm,hata uhuru wa wewe kuropoka unatakiwa kumshukuru SSH,mlikuwa mumeolewa na Mwendazake nyie.Ungekuwepo uhuru wa kuropoka mngekuja na ngonjera kumsuta ndugai hadi kujiuzulu? Mbowe angekuwa anasota rumande na kupandshwa magari ya magereza kila siku? Hana uhuru ni porojo tu
Ukisha sema Bank ni biashara hakuna msaada Mzee.Mkopo na msaada???? Sasa hapo tumepewa nn mkopo, msaada au au vyote kwa pamoja
Ya ccm tuwaachie ccm, 😅 alifanya magufuli akiwa ccm we uliyaacha? Mbona mpaka leo ashaenda zake lakini bado unamuongelea! Mikopo siyo ya ccm ni maslahi ya nchi kama ilivyo kwenye tozo. ACHA KULAMBA MIGUU YA WATU, ongelea maslahi mapana ya nchi kama katiba mpya na si ya 1977 iliyokufanya hadi umchukie MwendazakeYa ccm waachie ccm,hata uhuru wa wewe kuropoka unatakiwa kumshukuru SSH,mlikuwa mumeolewa na Mwendazake nyie.