Waziri Mwigulu si ulisema ni Vocha tu? Imekuwaje?

[emoji2962][emoji2962][emoji2962][emoji2962]
 
Mambo ya uzalendo kuwakamua walalahoi wanaoishi chini ya dola 1 ,wao wanaolipiwa kila kitu na mishahara mikubwa hadi 20m kwa mwezi hawakatwi tozo ya uzalendo kwenye malupulupu yao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nacheka huku nauma meno [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Huu ni mpango wa mama..

Huu mpango umepata mibaraka yake.

Sio waziri wa fedha au bunge linahusika na hili ila ni yeye ndio muhusika mkuu kwenye huu unyang'anyi

Tutamkumbuka kwa hii dhuluma anayoifanya sasa
 
Tuna Bunge DHAIFU ambalo halijui wajibu wake. Wao wanadhani Bunge ni kitengo kingine cha maccm badala ya kuwa kuwa wawakilishi wa Watanzania katika kero zetu mbali mbali na kuisimamia Serikali kuhusu pia wizi, ufisadi na ubadhirifu.
Hivi kiuhalisia nini motive kubwa ya mtu kugombea ubunge, ni kujikimu binafsi au kujenga taifa! Kwa nini daktari bingwa au profesa aache kutumikia kwa nafasi yake na kuutaka ubunge.
Dunia imefanya kosa kubwa sana kulipa wabunge pesa nyingi kuliko wataalamu.
Kwa wabunge wangelipwa mshara sawa wa mwalimu wa shahada na posho ya kawada huko kujivika uzalendo kwa kungeyeyuka kama umande kwenye jua.
 
Huu ni mpango wa mama..

Huu mpango umepata mibaraka yake.

Sio waziri wa fedha au bunge linahusika na hili ila ni yeye ndio muhusika mkuu kwenye huu unyang'anyi

Tutamkumbuka kwa hii dhuluma anayoifanya sasa
Basi tunaomba kwa hekima zake Mama yetu
Mh Rais alitizame hili kwa jicho la pili
 
BAK is very problematic guy and likes to complain alot! Mama anaupiga mwingi this was supposed to be the slogan!
 
Kuhusu suala, wafikirie upya saula hili maana litarudisha nyuma maendeleo ya wananchi.
 
mataga pori mliambiwa bia inashuka bei mkakata viuno kama feni bovu leo mmeletewa kodi ya miamala mnaanza kelele.
 
Tulia we li bavicha! Lipa kodi hiyo tunataka hela ya miradi sisi
mataga pori pungozo la bei ya bia liliwafanya mkakenua kama ngiri maji leo mnalia na kusaga meno kwenye miamala kama raiya wengine tu 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…