Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

Jerlamarel

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
843
Reaction score
2,525
Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa.

Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".

20221003_110053.jpg

20221003_110102.jpg
 
Na watanzania wengi walivyo tutusa wanaamini madelu anajipangia tu
 
Waasisi wa wazo la tozo na kukubaliwa kwake ni Madelu na Zungu.

Laana zitamfuata tu, hachomoki.
 
Back
Top Bottom